Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Baada ya makamanda kuonyeshwa "dokumenti" za bunge zinazohusu kupitishwa kwa bajeti za ujenzi wa Chato international airport, ununuzi wa ndege, ujenzi wa bwawa la kufua umeme la JK Nyerere nk sasa mmeamia kwenye "hela mfukoni" hahaha
Sasa hizo ducoment zinamsaidia nini mama muuza mihogo au muuza ndizi ambae biashara imekuwa ngumu. Tumia akili we bwege.Baada ya makamanda kuonyeshwa "dokumenti" za bunge zinazohusu kupitishwa kwa bajeti za ujenzi wa Chato international airport, ununuzi wa ndege, ujenzi wa bwawa la kufua umeme la JK Nyerere nk sasa mmeamia kwenye "hela mfukoni" hahaha
Acha ushabiki,maduka,mama lishe,hata wamachinga wamefunga biashara.Biashara gani zimefungwa?SI ukute unazungumzia biashara za gongo na kutakatisha fedha
tatizo lenu ni hapo badala ya kujibu hoja mnajibu matusi na vurugu je mkipewa nchi nyie alafu akatokea mtu kama huyo lissu si mtamuua yeye mpaka na uko wake oteSasa hizo ducoment zinamsaidia nini mama muuza mihogo au muuza ndizi ambae biashara imekuwa ngumu. Tumia akili we bwege.
mama lishe gani wamefunga biashara mkuu maana watu hatujaacha na hatutaacha kula mpaka tufe.Acha ushabiki, maduka,mama lishe, hata wamachinga wamefunga biashara.
Hili la mzunguko wa pesa kusinyaa na kusababisha ugumu wa maisha alitakiwa alizungumzie.jamaaa ameongea point mno zote with evidence huenda kuna mengi wanayajua sema tumpe muda chadema wafakapo jibu tena fyoko atupe memgine zaid na kama wasipojibu watakuwa waongo kweli, na kama wakijibu wajiandae kupasuliwa zaid tena dakika za lala salama
Ulizoonyeshwa ni za bunge la chato.baada ya makamanda kuonyeshwa "dokumenti" za bunge zinazohusu kupitishwa kwa bajeti za ujenzi wa Chato international airport, ununuzi wa ndege, ujenzi wa bwawa la kufua umeme la JK Nyerere nk sasa mmeamia kwenye "hela mfukoni" hahaha
Labda wewe unaishi ufaransa.mama lishe gani wamefunga biashara mkuu maana watu hatujaacha na hatutaacha kula mpaka tufe
Wapi ukoAcha ushabiki,maduka,mama lishe,hata wamachinga wamefunga biashara.
Tatizo lako umtoto sisi tunao kutafutia kula ndio tunajua ugumu wa maisha.Biashara gani zimefungwa?SI ukute unazungumzia biashara za gongo na kutakatisha fedha
pesa imesinyaa lakini siyo kwa kiasi tunachoaminishwa,fedha ipo na watu wanatumia fedha,na hata hela iliyotumika yote ipo kwenye miradi mikubwa ambayo mingi ishaaanza kurudisha fedha na mingine soon itaanza kutoa fedha katika kipindi kifupi kama Air tanzania,stiglor gorge n.kHili la mzunguko wa pesa kusinyaa na kusababisha ugumu wa maisha alitakiwa alizungumzie.
Huenda huko ufaransa unakokusema huenda kukawa na maisha magumu kushinda hapa unapopaita kuna maisha magumuLabda wewe unaishi ufaransa.
Mbona tunamwita Magufuli akatuelezee katika mdahalo atakaki?jamaaa ameongea point mno zote with evidence huenda kuna mengi wanayajua sema tumpe muda chadema wafakapo jibu tena fyoko atupe memgine zaid na kama wasipojibu watakuwa waongo kweli, na kama wakijibu wajiandae kupasuliwa zaid tena dakika za lala salama
Inaonekana madalali wa magari awamu hii mnapiga pesa sana.Huenda huko ufaransa unakokusema huenda kukawa na maisha magumu kushinda hapa unapopaita kuna maisha magumu