Uchaguzi 2020 Polepole acha kuruka viunzi, tunataka utuambie kwa nini maisha yamekuwa magumu uraiani

baada ya makamanda kuonyeshwa "dokumenti" za bunge zinazohusu kupitishwa kwa bajeti za ujenzi wa Chato international airport, ununuzi wa ndege, ujenzi wa bwawa la kufua umeme la JK Nyerere nk sasa mmeamia kwenye "hela mfukoni" hahaha
Tatizo la lumumba ni vilaza. Hoja ya Lissu sio kiasi gani kilipitishwa na Bunge, hoja yake ni kiasi gani kimelipwa kwa kila ndege???

Bunge kupitisha bilioni 400 kununulia ndege haimaanishi hela yote imeenda kutumika kununulia ndege. Inawezekana wametumia bilioni 200 tu kununua ndege na nyingine wakaweka mfukoni.

Majibu kwa hoja za Lissu ni kuwa CCM waoneshe bank transactions kutoka serikali ya Tanzania kwenda Boeing na Bombardier kuonesha walilipa shilingi ngapi kwa kila ndege not otherwise.

Bado CCM hamjajibu hoja za Lissu!! Mnaweweseka tu 😂😂😂😂😂😂
 
Sasa hizo ducoment zinamsaidia nini mama muuza mihogo au muuza ndizi ambae biashara imekuwa ngumu. Tumia akili we bwege.
Mkuu acha kujitoa ufahamu kwa jina la "siasa"...mbona bei ya fungu la muhogo haishuki bei na uhitaji umekuwa mkubwa hasa baabda ya wanaume kuanza kuitafuna kama dozi ya 2 X 3?
 
Tatizo la lumumba ni vilaza. Hoja ya Lissu sio kiasi gani kilipitishwa na Bunge, hoja yake ni kiasi gani kimelipwa kwa kila ndege???

Bunge kupitisha bilioni 400 kununulia ndege haimaanishi hela yote imeenda kutumika kununulia ndege. Inawezekana wametumia bilioni 200 tu kununua ndege na nyingine wakaweka mfukoni...
mbona unazid kuaibisha chama ndugu
yani mpka leo hujui kila ndege imenunuljwa sh ngapi wakati vitu vyote vipo wazi kabisa
 
baada ya makamanda kuonyeshwa "dokumenti" za bunge zinazohusu kupitishwa kwa bajeti za ujenzi wa Chato international airport, ununuzi wa ndege, ujenzi wa bwawa la kufua umeme la JK Nyerere nk sasa mmeamia kwenye "hela mfukoni" hahaha

Kwani bajeti ndiyo bei anayolipwa mzabuni, tunataka mikataba kuona wazabuni wa hizo tenda wamesaini kulipwa kiasi gani sheria inataka mikataba mikubwa iwekwe wazi kwa wananchi kwanini inafichwa kuna shida gani na sheria ipo tangu 2017. Msituletee habari za bajeti mikataba ndiyo inatakiwa tuone watalipwa pesa hizo kutoka wapi maana kuna trillion za SGR kuna trillion za bwawa la Umeme, mikataba yake iko wapi acheni kutupiga chenga. Tunataka kujuwa hizo pesa za kulipia hiyo miradi zinatoka wapi na masharti yake yakoje.
 
baada ya makamanda kuonyeshwa "dokumenti" za bunge zinazohusu kupitishwa kwa bajeti za ujenzi wa Chato international airport, ununuzi wa ndege, ujenzi wa bwawa la kufua umeme la JK Nyerere nk sasa mmeamia kwenye "hela mfukoni" hahaha
Embu ziweke haoa hizo documents
 
Tatizo la lumumba ni vilaza. Hoja ya Lissu sio kiasi gani kilipitishwa na Bunge, hoja yake ni kiasi gani kimelipwa kwa kila ndege???

Bunge kupitisha bilioni 400 kununulia ndege haimaanishi hela yote imeenda kutumika kununulia ndege. Inawezekana wametumia bilioni 200 tu kununua ndege na nyingine wakaweka mfukoni.

Majibu kwa hoja za Lissu ni kuwa CCM waoneshe bank transactions kutoka serikali ya Tanzania kwenda Boeing na Bombardier kuonesha walilipa shilingi ngapi kwa kila ndege not otherwise.

Bado CCM hamjajibu hoja za Lissu!! Mnaweweseka tu 😂😂😂😂😂😂
Unaamini kampuni kubwa kama Boeing inaweza kuchafua jina lake kwa odree ya tundege tuchache inayotuuzia nchi ya Uchumi wa kati kama Tanzania! Hebu jiulize swali hili kwa mara nyingine...unakumbuka kashfa ya rada ya akina Chenge ilivyoharibu image ya kampuni ile?
 
pesa imesinyaa lakini siyo kwa kiasi tunachoaminishwa,fedha ipo na watu wanatumia fedha,na hata hela iliyotumika yote ipo kwenye miradi mikubwa ambayo mingi ishaaanza kurudisha fedha na mingine soon itaanza kutoa fedha katika kipindi kifupi kama Air tanzania,stiglor gorge n.k

Miradi ipi imeanza kurudisha pesa hebu tutajie na wengine tujuwe maana ATCL ndo iko ICU
 
Unaamini kampuni kubwa kama Boeing inaweza kuchafua jina lake kwa odree ya tundege tuchache inayotuuzia nchi ya Uchumi wa kati kama Tanzania! Hebu jiulize swali hili kwa mara nyingine...unakumbuka kashfa ya rada ya akina Chenge ilivyoharibu image ya kampuni ile?
Acha maneno wekeni proof ya bank transactions tulinganishe na kiasi mlichopitisha bungeni
 
Mkuu acha kujitoa ufahamu kwa jina la "siasa"...mbona bei ya fungu la muhogo haishuki bei na uhitaji umekuwa mkubwa hasa baabda ya wanaume kuanza kuitafuna kama dozi ya 2 X 3?
Imekuwa ndio chakula cha kusaidia familia,ila Prof Janabi kasema mjiandae kufa kwa presha na magonjwa ya moyo.
 
Back
Top Bottom