Nakataa maisha ni magumu Sana mitaani mkuu,Mambo hayko sawa kuanzia mkulima ,mvuvi, mama lishe n.k na ndo kwa Sasa hata ukisafili utakutana na nyumba nyingi zilizo andikwa zinauzwa na benk maana yake bishara zao zimekufa na wameshindwa marejesho.
Mnaosema maisha sio magum ukweli mnaujua ili kwa sababu wengi mko kwenye mkondo ambao upo karibu na keki ya taifa ndo maana mnatetea ,mnasifia mpaka mnajitoa hufaham.
Ni kweli binadam kiuchumi hatuwezi lingana lakini lazima unafuu wa maisha uwepo kwa watu wote ,wa Kila Milo mitatu,kumudu matumizi ya familia n.k ,Sasa mmekaza vyuma miaka mitano, huku mkikebei makundi mengine Kama watumishi kwamba asietaka kazi ahache,na kusema ukweli akuna kipindi ambacho wanaccm mmejitutumua Kila mahali kuanzia uraiani mpaka kwenye mitandao Kama miaka hii mitano,Sasa kikowapi mnatafuta pa kushika hampaoni Yani,MWAFAA MWAKA HUU