Polepole alikuwa sahihi, Unaijua V-8 wewe? Ni sawa na kituo kituo kimoja cha afya

Polepole alikuwa sahihi, Unaijua V-8 wewe? Ni sawa na kituo kituo kimoja cha afya

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Yaani kaaa kwa kutulia mtoto mdooooogoooo, mnuka jasho a.k.a MNYONGE, sasa kwa taarifa yako kila mwaka v-8 za billions 600 zinaagizwa, V-8 MOJA NI MILLIONS 500 SAWA NA KITUO CHA AFYA

Zinajazwa mafuta full tank, full Ac na hakuna kuzimwa hata kama boss yuko bar na mrembo wa bongo movie wanakula manyama na kushushia na ma wine toka ufaransa

Kaa kwa kutulia weweeeee unalalamika tozo unadhani watoto wako watsomea kwenye nini bila tozo? madarasa yatajengwaje? vituo vya afya vitajengwaje?

Najua mimacho umetolea kwenye v-8 , yees ni lazima kila mwaka model mpya ikitoka waheshimiwa waipate sababu wanaumiza sana vichwa kuwatumikia nyie wanuka jasho msio na shukrani

Mmeletewa hadi wachezaji toka brazil, argentina kwenye team iliyoko singida lakini bado hamna shukrani, hela yenyewe ndogo inayovamiwa kwenye vi account vyenu mnaiona nyiiingi wenyeeewe, LAZIMA MUUMIE LA SIVYO SHULE NA ZAHANATI HAKUNA NAMBA NYINGINE YA KUJENGA

UNAIJUA V-8 WEWEEEEEEEE? MTOOOOTO M-LITTLE, MNUKA JASHO, KUBWA JINGA



v81.JPG
v82.JPG
tozovx.jpg
 
Nasisitiza..mheshimiwa Nchemba, watoto wa- little wanuka jasho waskuzengue kama vipi nao wangeenda shule siyo kuoneana wivuTozo ziendelee kama wanataka zitolewe wasisumbue kuhusu madarasa au zahanati
 
Manake kwa mwaka mmoja yanaagizwa ma v8 zaidi ya 1500. Dahhh...nchi hii imenona.
 
Hakika hakuna anayeijua kesho yake itakuwaje.

Polepole alikuwa anaamini kuwa Jiwe angetawala milele hivyo akawa anawaona watanzania kama hamnazo.
 
Back
Top Bottom