Common Folk
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 909
- 4,050
Kwa kutumia common sense tu hata wewe ungekuwa Polepole ungeona hauna lako tena ndani ya "2025 -2030 Dream Team".
Bashiru nje❌
Majaliwa nje❌
Ndugai nje❌
Mpango nje❌
Sasa Polepole bado ana chake hapo? Tena ametupwa huko Cuba, hopeless region!
Nasema hivi kwa sababu hata sababu za kujiuzulu alizotoa hazina mashiko yoyote kwa mtu kama yeye, hasa ikizingatiwa yeye na hao hapo juu ndiyo waaasisi wa aina hii ya uongozi tulionao kwa sasa, uongozi uliokaa ki imla imla!
Mwamba kaamua tu kama mbwai na iwe mbwai, bora niyamwage angali ya moto ila nitahakikisha yanamrukia na mpishi kiaina.