Common Folk
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 909
- 4,050
Bora umeona hii kituKwa kutumia common sense tu hata wewe ungekuwa Polepole ungeona hauna lako tena ndani ya "2025 -2030 Dream Team".
Bashiru nje❌
Majaliwa nje❌
Ndugai nje❌
Mpango nje❌
Sasa Polepole bado ana chake hapo? Tena ametupwa huko Cuba, hopeless region!
Nasema hivi kwa sababu hata sababu za kujiuzulu alizotoa hazina mashiko yoyote kwa mtu kama yeye, hasa ikizingatiwa yeye na hao hapo juu ndiyo waaasisi wa aina hii ya uongozi tulionao kwa sasa, uongozi uliokaa ki imla imla!
Mwamba kaamua tu kama mbwai na iwe mbwai, bora niyamwage angali ya moto ila nitahakikisha yanamrukia na mpishi kiaina.
View attachment 3404440
Unatumia Id Nyingi Kujipa moyo? Makonda JeKwa kutumia common sense tu hata wewe ungekuwa Polepole ungeona hauna lako tena ndani ya "2025 -2030 Dream Team".
Bashiru nje❌
Majaliwa nje❌
Ndugai nje❌
Mpango nje❌
Sasa Polepole bado ana chake hapo? Tena ametupwa huko Cuba, hopeless region!
Nasema hivi kwa sababu hata sababu za kujiuzulu alizotoa hazina mashiko yoyote kwa mtu kama yeye, hasa ikizingatiwa yeye na hao hapo juu ndiyo waaasisi wa aina hii ya uongozi tulionao kwa sasa, uongozi uliokaa ki imla imla!
Mwamba kaamua tu kama mbwai na iwe mbwai, bora niyamwage angali ya moto ila nitahakikisha yanamrukia na mpishi kiaina.
View attachment 3404440
Unahisi mm ni nani mkuu?😀Unatumia Id Nyingi Kujipa moyo? Makonda Je
Sahihi kabisa.Nasema hivi kwa sababu hata sababu za kujiuzulu alizotoa hazina mashiko yoyote kwa mtu kama yeye, hasa ikizingatiwa yeye na hao hapo juu ndiyo waaasisi wa aina hii ya uongozi tulionao kwa sasa, uongozi uliokaa ki imla imla!
View attachment 3404440
Kwanini watu wa Samia mmehamaki?Kwa kutumia common sense tu hata wewe ungekuwa Polepole ungeona hauna lako tena ndani ya "2025 -2030 Dream Team".
Bashiru nje❌
Majaliwa nje❌
Ndugai nje❌
Mpango nje❌
Sasa Polepole bado ana chake hapo? Tena ametupwa huko Cuba, hopeless region!
Nasema hivi kwa sababu hata sababu za kujiuzulu alizotoa hazina mashiko yoyote kwa mtu kama yeye, hasa ikizingatiwa yeye na hao hapo juu ndiyo waaasisi wa aina hii ya uongozi tulionao kwa sasa, uongozi uliokaa ki imla imla!
Mwamba kaamua tu kama mbwai na iwe mbwai, bora niyamwage angali ya moto ila nitahakikisha yanamrukia na mpishi kiaina.
View attachment 3404440
Akili za kufungia maandaziKwa kutumia common sense tu hata wewe ungekuwa Polepole ungeona hauna lako tena ndani ya "2025 -2030 Dream Team".
Bashiru nje❌
Majaliwa nje❌
Ndugai nje❌
Mpango nje❌
Sasa Polepole bado ana chake hapo? Tena ametupwa huko Cuba, hopeless region!
Nasema hivi kwa sababu hata sababu za kujiuzulu alizotoa hazina mashiko yoyote kwa mtu kama yeye, hasa ikizingatiwa yeye na hao hapo juu ndiyo waaasisi wa aina hii ya uongozi tulionao kwa sasa, uongozi uliokaa ki imla imla!
Mwamba kaamua tu kama mbwai na iwe mbwai, bora niyamwage angali ya moto ila nitahakikisha yanamrukia na mpishi kiaina.
View attachment 3404440
Wewe bwana wee kweli??? HahahahaNa BADO mpk mseme Lumumba uko buku 7 kwa cku mtaipata kwa tabu MNO.
Kazi ni kipimo cha utu
Uakabia juu sana pumzi ndogo huyo.Unatumia Id Nyingi Kujipa moyo? Makonda Je