Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Wajumbe wa CCM walimpa Samia ushindi kwa 100%.
Mlikuwa mnasambaza video ile jamaa anasema mgombea (Rais Samia )atoke chumba cha kupigia kura mukiwa na lengo la kuuaminisha umma kuwa Samia hakubaliki na wajumbe. Samia honestly alisema kama hawamtaki wamkate tu mbele zake hana shida . Wote 100% wakampa, hata yule mjumbe alimpa na huyo Gwajima akampa kura.
Polepole una kichaa kabisa, yaani ulitaraji wale wajumbe maelfu wakuunge mkono utapeli wako.
Kama wangekuwa hawamtaki wangemkataa siku ile. Hapakuwa na bunduki ndani wala pingu za kuwakamata wasiompa kura.
Kwa ufupi Polepole mipango yenu imefeli .
Na wapinzani wanaokuunga mkono ndio kabisa hawana akili.
Wewe Polepole uliwaminya kwa miaka 5 , hawakupata ruhusa hata kukusanyika mahali popote pa hadhara. Sometimes mpaka kwenye vikao vya ndani muliwatuma polisi wakawaminye.
Sasa mtu kama huyo anapokuunga mkono kwanini nisimwite tahira?
Polepole mlitumia pesa mlizipora kwa wafanyabiashara kununua wapinzani, wewe ndiye ulikuwa master key.