Polepole amesema hakuna wa kumzuia kusema na CCM hatoki kwa hiari. Polepole amewakemea viongozi wa CCM kwa kutosema makosa ya kiutendaji ya serikali na pia amewasema viongozi wa serikali wanaobutua katika utendaji wao.
Oooh Chama ni kikubwa kuliko mtu, haya sasa Polepole kawarushia mawe, tuone nani zaidi! Na amesema atajibu mapigo kwa hatua yo yote itakayochukuliwa na CCM dhidi yake!