Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Sasa kama katiba na alisimama kuitetea ilimshinda na akaangukia pua je ccm ataiweza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameshaongea na waandishi wa habari, habari kuu ilikuwa ni ccm kushinda rufaa ya ubunge jimbo la Longido hivyo uchaguzi utarudiwa tena kwa mjibu wa taratibu za Tume ya Uchaguzi nchini.View attachment 579110 Huyu mzee kijana kila siku anatafuta kiki kwa pikipiki na haitimii au akiita press vitu avavyoongea ni vya ajabu ajabu sana yaani anavyotumia mda kuitangaza haiendani na kile kinachotarajiwa.
Sasa kama katiba na alisimama kuitetea ilimshinda na akaangukia pua je ccm ataiweza?
View attachment 579110 Huyu mzee kijana kila siku anatafuta kiki kwa pikipiki na haitimii au akiita press vitu avavyoongea ni vya ajabu ajabu sana yaani anavyotumia mda kuitangaza haiendani na kile kinachotarajiwa.
Sasa kama katiba na alisimama kuitetea ilimshinda na akaangukia pua je ccm ataiweza?
Labda alisahau kwamba kesho ni sikukuu, so breaking news ataiachia baada ya Sikukuu!View attachment 579110 Huyu mzee kijana kila siku anatafuta kiki kwa pikipiki na haitimii au akiita press vitu avavyoongea ni vya ajabu ajabu sana yaani anavyotumia mda kuitangaza haiendani na kile kinachotarajiwa.
Sasa kama katiba na alisimama kuitetea ilimshinda na akaangukia pua je ccm ataiweza?
Mbona sisi CCm anatufaa sana. Tena kwa sasa tunamhitaji zaidi yeye kuliko wakati wowote ule.View attachment 579110 Huyu mzee kijana kila siku anatafuta kiki kwa pikipiki na haitimii au akiita press vitu avavyoongea ni vya ajabu ajabu sana yaani anavyotumia mda kuitangaza haiendani na kile kinachotarajiwa.
Sasa kama katiba na alisimama kuitetea ilimshinda na akaangukia pua je ccm ataiweza?