Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
hatari snAMEKUTUMA? Mwambie ubalozi unamtosha hatutaki kurudi enzi za washamba, hata huyo Makonda wako hatakaa muda mrefu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hatari snAMEKUTUMA? Mwambie ubalozi unamtosha hatutaki kurudi enzi za washamba, hata huyo Makonda wako hatakaa muda mrefu.
Kukabidhi Chama Kwa Sukuma G itakuwa hatari kuliko unavyotarajia.Kama kweli Mwenyekiti wa CCM Taifa anataka kuongeza mvuto, basi aende na Humphrey Polepole.
Kiukweli Mzee wa "kataa wahuni" analog kundi kubwa sana Tena zaidi hata ya MAKONDA.
Sasa fikiria combination ya Makonda na Polepole hii itakua CCM ya moto sana.
Hii combination itaongeza Imani kwa Serikali na Chama. Pia itaongeza ufanisi wa utendaji kwa mawaziri na watumishi wa umma.
Polepole anauwezo wa kujenga hoja na pia ni kijana mweredi Dana wa siasa za Afrika na Tanzania.
Uamuzi wa kumpa ubalozi ulikua mzuri ili kumlinda na nongwa na kashfa za kutengeneza. Na Sasa ni wakati wa kumtumia.
Wazungu husema "Save the best for the last"
Msidanganye MAKONDA sio chochote ndani ya nchi hii , anabebwa tu, hivi hii nchi mnaifaham au mwaleta mzaa,Kama kweli Mwenyekiti wa CCM Taifa anataka kuongeza mvuto, basi aende na Humphrey Polepole.
Kiukweli Mzee wa "kataa wahuni" analog kundi kubwa sana Tena zaidi hata ya MAKONDA.
Sasa fikiria combination ya Makonda na Polepole hii itakua CCM ya moto sana.
Hii combination itaongeza Imani kwa Serikali na Chama. Pia itaongeza ufanisi wa utendaji kwa mawaziri na watumishi wa umma.
Polepole anauwezo wa kujenga hoja na pia ni kijana mweredi Dana wa siasa za Afrika na Tanzania.
Uamuzi wa kumpa ubalozi ulikua mzuri ili kumlinda na nongwa na kashfa za kutengeneza. Na Sasa ni wakati wa kumtumia.
Wazungu husema "Save the best for the last"
Mm siyo muhuni lakini yule hapanaI go for the kataa wahuni ni mwamba sana wa siasa za moto
Ccm inakwenda kufaKama kweli Mwenyekiti wa CCM Taifa anataka kuongeza mvuto, basi aende na Humphrey Polepole.
Kiukweli Mzee wa "kataa wahuni" analog kundi kubwa sana Tena zaidi hata ya MAKONDA.
Sasa fikiria combination ya Makonda na Polepole hii itakua CCM ya moto sana.
Hii combination itaongeza Imani kwa Serikali na Chama. Pia itaongeza ufanisi wa utendaji kwa mawaziri na watumishi wa umma.
Polepole anauwezo wa kujenga hoja na pia ni kijana mweredi Dana wa siasa za Afrika na Tanzania.
Uamuzi wa kumpa ubalozi ulikua mzuri ili kumlinda na nongwa na kashfa za kutengeneza. Na Sasa ni wakati wa kumtumia.
Wazungu husema "Save the best for the last"
Nchimbi hawez kwenda na siasa za kisasa na vijana. Hawezi kujenga hoja na kuzijibu. Polepole is better and intelligent!Nchimbi ndio anafaa hapo
Hawa wahalifu wa awamu ya nne wakamatwe sio vinginevyo!Kama kweli Mwenyekiti wa CCM Taifa anataka kuongeza mvuto, basi aende na Humphrey Polepole.