Polepole anafaa kwa Ukatibu Mkuu CCM

Kukabidhi Chama Kwa Sukuma G itakuwa hatari kuliko unavyotarajia.
 
Msidanganye MAKONDA sio chochote ndani ya nchi hii , anabebwa tu, hivi hii nchi mnaifaham au mwaleta mzaa,

Japo ccm imekufa kitambo ila wapo watu mwaweza wapa cheo husika na kuleta angalau ka mvuto mfano
1 Mtaka
2, Makongoro Nyerere
3 , mzee wa Sukuma ndani n.k

Tatizo ccm hufikili kwa mawazo ya watu walewale ndo maana lichama linajifia
 
Ccm inakwenda kufa
 
Hawa wahalifu wa awamu ya nne wakamatwe sio vinginevyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…