Polepole anafanyia press lakini wafuasi wa CHADEMA hawalali wanakesha na simu kumsikiliza

Mbona wewe mwanaccm umemunzishia kabisa Uzi kumtangaza Yuko live
Unajua chochote mnachofanya mnabrand zaidi
Mkifunga mitandao wasiojua wanauliza kwanini wanaambiwa ni Pole pole
Think tank ya upande huo wa kwenu Ina shida na inamletea Mama aibu sana
 
Chadema ni chama cha kudandia ajenda zinazotoka vyama vingine.Kimekuwa chama cha watu wenye vurugu za maono
 
 
Wewe mwenyewe unamsikiliza. Usimgeandika huu uvundo bila ya kumsikiliza kupitia simu yako.
 
Kwani Polepole ni CHADEMA?amehama lini CCM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…