Polepole anafanyia press lakini wafuasi wa CHADEMA hawalali wanakesha na simu kumsikiliza

Polepole anafanyia press kwenye vyoo vya wazungu lakini bado wafuasi wa chadema hawalali Sasa sjajua ni ugonjwa wa wafuasi wa chadema au ni kukosa akili, badae wapate stress wajiteke🤣

Nazidi kuwashangaa Hawa wafuasi wa CHADEMA wanaona kabisa anayeongea mwenyewe anajiogopa anajificha kwenye vyoo vya wazungu kwasabu anaropoka uongo lakini wenzetu wafuasi wa chadema wanashinda wanakesha wanamsikiliza Sasa sjui wamelogwa hawa jamaa wa chadema. Wanatia aibu sana.

Nyie jamaa wa chadema Hebu kuweni civilized acheni kufanya Mambo kiprimitive primitive Kama hamna akili. Kwahyo mkimusikiliza polepole mwisho wake huwa ni Nini🤣

Mnasikiliza mradi kumsikiliza lakini hakuna outcome yyte siku zinaenda poleni Sana.
Wanaomjibu akina ustaadh Mwashambwa and the like, ni CCM
 
Wewe uwezo wako wa kufikiri ni mdogo.
Wewe unajuaje kama hawalali?.
 
Mnakesha mnapiga vyomba halafu mnasema mnaombea Taifa
Tunaomba wale mliowapoteza wapatikane Kwa nguvu ya Mungu
Tunaomba wale mliowaua wapate Uzima wa milele
Tunaomba Damu zote zilizomwagwa na Rais Samia Suluhu na washirika wake zikamlilie Mungu kutoka katika ardhi ya Tanzania
Tunaomba Mungu akawageuze Rais Samia ,NCHIMBI ,Paul Makonda,Tulia Akson, Mafwele,Murilo ,Wambura,Mombo na wote watenda maovu.
 
Mbona wewe mwanaccm umemunzishia kabisa Uzi kumtangaza Yuko live
Unajua chochote mnachofanya mnabrand zaidi
Mkifunga mitandao wasiojua wanauliza kwanini wanaambiwa ni Pole pole
Think tank ya upande huo wa kwenu Ina shida na inamletea Mama aibu sana
Usijidanganye kuwa HP anafuatiliwa na CHADEMA tu
 
Polepole anafanyia press kwenye vyoo vya wazungu lakini bado wafuasi wa chadema hawalali, Sasa sjajua ni ugonjwa wa wafuasi wa chadema au ni athari za mdudu ujinga, wanakesha wanaskiliza non busness press ambazo HAZINA return yyte, ni useless press.

Nazidi kuwashangaa Hawa wafuasi wa CHADEMA wanaona kabisa anayeongea mwenyewe anajiogopa anajificha kwenye vyoo vya wazungu kwasabu anaropoka uongo lakini wenzetu wafuasi wa chadema wanashinda wanakesha wanamsikiliza Sasa sjui wamelogwa hawa jamaa wa chadema. Wanatia aibu sana.

Nyie jamaa wa chadema Hebu kuweni civilized acheni kufanya Mambo kiprimitive primitive Kama hamna akili. Kwahyo mkimusikiliza polepole mwisho wake huwa ni Nini🤣

Mnasikiliza mradi kumsikiliza lakini hakuna outcome yyte siku zinaenda poleni Sana.
Mkuu ukiona hadi mitandao inazimwa ujue Hilo sio jambo dogo
 
Kama wewe hufuatilii unajuaje kuwa Chadema wanafuatilia.

Jyie Machawa wa Wahuni mna kazi kweli kweli. Rostam kawashika pabaya.
 
Prove beyond reasonable doubt ulijua kama wanakesha kama sio kwamba wote mnakesha
 
Ni mwanachama wenu bladfaken ...deal with your own shit assholes...chadema wako bize sana na mambo mazito hawana muda na uchafu wenu.
 
Polepole anajijung'uta mwenyewe huoni anaongelea chooni

..anaongelea "chooni" kwasababu kuna genge linateka, na kupoteza, wakosoaji wa serikali ya Ssh.

..kama Rais akizuia genge hilo Polepole hatakuwa na sababu ya kuogopa na kuongelea "chooni."
 
Back
Top Bottom