Polepole anakosa sifa hii muhimu ndio maana hakuna anayemzingatia



Mkuu naomba Kwa faida ya wengine utupe kitu kidogo.

Ingawaje nitarudia kumsikiliza
 
Mbona umeitolea chadema mfano kuhusu msimamo? Vp kuhusu CCM wao wanamsimamo? Mara leo azimio la Arusha na ujamaa mara kesho azimio la Zanzibar na ubepari! Haijulikani chama kina itikadi gani!


Msimamo wa CCM ni uleule wa CHADEMA, kiufupi hakuna msimamo
 
Mstari gani huo kwenye maandiko matakatifu?
 
Msimamo wa CCM ni uleule wa CHADEMA, kiufupi hakuna msimamo
Msimamo wa CCM ni ule ule upi? Nchi itafata itikadi ya ujamaa na kujitegemea ( wakati nchi imebinafsisha mashirika karibia yote ya umma kwa watu binafsi, na viongozi kila siku ni kiguu na njia kwenda kuomba misaada, ndo kujitegemea huko?) Na pili azimio la Arusha lilikataza viongozi kumiliki vitega uchumi na kufanya biashara ( Sasaiv viongozi wote wakubwa wa CCM ndo mabilionea na wamejilimbikizia mali) Msimamo ambao haujabadilika ni upi hapo? Unajua kwanza maana ya itikadi na umuhimu wa itikadi kwenye chama? Itikadi ya CCM ni ipi leo?
 
Ila Musukumu hapana halooo! Umesahau alivyoshadadia Lowasa then akaja kumgeuka ghafla hadi kumpakazia kajinyea? Huyu hapanaaaaa!
 


Nimesema CCM na CHADEMA Lao moja
 
kuna ukweli asilimia fulani hivi, mimi mwenyewe nilikuwa sikosi vipindi vya polepole ktk luninga wakati wa katiba mpya ila alivyopewa uenezi wa chama akaanza kubadilika si kwa katiba mpya tuu bali hata mwendo wake ulibadilika na kauli zikabadilika akajawa kiburimpaka kutuuliza unaijua V8 wewe sasa sijui v8 ilikuwa inapeleka dawa vijijini au madawati shuleni yaani watz wana matatizo yenye kuitaji kutatuliwa tunatambiwa na matumizi ya v8. na sasa nimemsikia akisema alikuwa anawaita viongozi vijana na kuwaonya au kuwaelekeza pale walipokuwa hawaendi sawa nafikiri si kweli sishuhudiwi kama alimuita P.MAKONDA AU SABAYA na kuwaonya maana walipitiliza katika mstari flani hivi wa kutohojiwa katika kauli au matendo yao, mfano makonda aliwahi sema achaguliwinani amtumie na amtumie wapi na watu wawe na adabu hata wakubwa zako wanamtambua......
kwangu mm hapo kwa msukuma hebu tumweke profesa ASAD CAG aliepumzishwa kwa sababu ya misimamo yake, huyu ndiye namwona kama mfano halisi hasa maana wakati wa utawala wa awamu ya 5 kumkatalia rais jambo na kulisimamia mpaka ukubali kuachia hata cheo si jambo dogo. kwa jenerali ulimwengu nakukubalia 100% nae hayumbishwi toka nimfahamu na kufuatilia historia yake ya uongozi toka huko nyuma.
 
Haw wanamisimamo thabiti Tuwafuate..

 
Ukiwa na msimamo thabiti jiandae kutukanwa kama Magufuli..
Ukiwa huna msimamo pia jiandae kuzodolewa kama Kikwete.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…