Bado yupo mafunzo..ofisi haiwezi kukosa mtu atakuepo kaimu balozi usiwe mjingaHivi ni nani anahudumia watanzania kwa huduma za ubalozi? Nani anafanya kazi za Tanzania huko Malawi? Polepole anazunguka tu humu nchini wakati hapo Malawi hata kwa basi la Sauli au Super Feo anafika
😂 😂 👆huyo jamaa dish lime kaa upande kidogo.Nchi inavuja kila mahali ,,naitwa abihudi palangyo siombi msamahaaaa
Tizama ndugu nchi hii inaongozwa na rais kama yeye hataki kukaa Dodoma kila leo yupo Dar sasa hawa wa chini yake? Turudishe makao makuu yawe DarHivi ni nani anahudumia watanzania kwa huduma za ubalozi? Nani anafanya kazi za Tanzania huko Malawi? Polepole anazunguka tu humu nchini wakati hapo Malawi hata kwa basi la Sauli au Super Feo anafika
Tizama ndugu nchi hii inaongozwa na rais kama yeye hataki kukaa Dodoma kila leo yupo Dar sasa hawa wa chini yake? Turudishe makao makuu yawe Dar
Kiongozi gani unayemjua kakuwa bika hiyo dhiki au kakuwa kitajiri?Mm kama kawaida huwa sikosei, ukiona mtu amekuwa kwa shida sana au ana sura ya dhiki sana au shida sana, ukimpa uongozi mjue mmeumia. This is very true.
Wewe inakuhusu nini? Umemteua wewe?Hivi ni nani anahudumia watanzania kwa huduma za ubalozi? Nani anafanya kazi za Tanzania huko Malawi? Polepole anazunguka tu humu nchini wakati hapo Malawi hata kwa basi la Sauli au Super Feo anafika
Ndicho alichokisema mwenyewe Polepole kwenye mahojiano ya kipindi cha Diplomasia cha UTV kilichorushwa leo.Tambua kuwa mabalozi wawili hawawez kutana nchi moja, Balozi anaemaliza muda wake bado yupo malawi mpka mwenz wa nane ndo anaondoka na kuja nchini mkabidh polepole mikoba.
Tambua kuwa mabalozi wawili hawawez kutana nchi moja, Balozi anaemaliza muda wake bado yupo malawi mpka mwenz wa nane ndo anaondoka na kuja nchini mkabidh polepole mikoba.
Kama hujui haya mambo tulia hivi mnajua historia mfano Mzee comrade Capt hayati Jaka Mwambi Dr, alikaa muda gani kwenda kuripoti Urusi kama Balozi, akiwa anakaa Peacock Hotel Milenium Tower, Miaka hiyo na wengineo, Hati za ubalozi sio pipi.Hivi ni nani anahudumia watanzania kwa huduma za ubalozi? Nani anafanya kazi za Tanzania huko Malawi? Polepole anazunguka tu humu nchini wakati hapo Malawi hata kwa basi la Sauli au Super Feo anafika
Mbona waganga wanamchanja Kinga asilogwe
Watanzania kila siku nasema ni watu wa hovyo sana... vichwa maji...
nazani kama mmemsikia waziri wa ulinzi kuhusu mkakati wanao andaa kumaliza tatizo lililopo kati ya tanzania na malawi ungeelewa zaidi
kwanini usiweke taarifa za mpaka wa tanzania na malawi kuwa tofauti na ilivyokuwa huko nyuma, kwanini usiulize kuhusu ziwa nyasa kuitwa ziwa malawi hivi sasa?
sasa serikali ina sema wapo katika kulitatua haya kidiplomasia... swala kwa nini yupo dodoma au tanzania lina kuchanganya...
lakini juzi balozi possi alikuwepo hapa tanzania, na dr. slaa alikuwa ana kuja mara kwa mara na alikuwa ana alikwa ktk vyombo vya habari, haya hayakuwa na maana sababu hamuelewi au hatuelewi mabalozi shughuli zao na uwajibikaji wao... na mengine mengi
Kwa nini walimuwahisha kumpa huo ubalozi? Wangemuacha aendeleze lile darasa lake la kuwafungua vipofu macho.
Yawezekana kikwazo ni chanjo!! Hata hivyo anaweza kuhudumia ofisi yake ya ubalozi Malawi ONLINE!!Hivi ni nani anahudumia watanzania kwa huduma za ubalozi? Nani anafanya kazi za Tanzania huko Malawi? Polepole anazunguka tu humu nchini wakati hapo Malawi hata kwa basi la Sauli au Super Feo anafika
Malawi wamemkataa?Kama hujui haya mambo tulia hivi mnajua historia mfano Mzee comrade Capt hayati Jaka Mwambi Dr, alikaa muda gani kwenda kuripoti Urusi kama Balozi, akiwa anakaa Peacock Hotel Milenium Tower, Miaka hiyo na wengineo, Hati za ubalozi sio pipi.
Kiongozi gani unayemjua kakuwa bika hiyo dhiki au kakuwa kitajiri?
Kwa nini walimuwahisha kumpa huo ubalozi? Wangemuacha aendeleze lile darasa lake la kuwafungua vipofu macho.