Polepole analipwa mshahara kama Balozi, lakini mpaka leo yuko Dodoma. Watanzania Malawi wanateseka

Hivi ni nani anahudumia watanzania kwa huduma za ubalozi? Nani anafanya kazi za Tanzania huko Malawi? Polepole anazunguka tu humu nchini wakati hapo Malawi hata kwa basi la Sauli au Super Feo anafika

Bado yupo mafunzo..ofisi haiwezi kukosa mtu atakuepo kaimu balozi usiwe mjinga
 
Tambua kuwa mabalozi wawili hawawez kutana nchi moja, Balozi anaemaliza muda wake bado yupo malawi mpka mwenz wa nane ndo anaondoka na kuja nchini mkabidh polepole mikoba.
 
Hivi ni nani anahudumia watanzania kwa huduma za ubalozi? Nani anafanya kazi za Tanzania huko Malawi? Polepole anazunguka tu humu nchini wakati hapo Malawi hata kwa basi la Sauli au Super Feo anafika

Tizama ndugu nchi hii inaongozwa na rais kama yeye hataki kukaa Dodoma kila leo yupo Dar sasa hawa wa chini yake? Turudishe makao makuu yawe Dar
 
Mm kama kawaida huwa sikosei, ukiona mtu amekuwa kwa shida sana au ana sura ya dhiki sana au shida sana, ukimpa uongozi mjue mmeumia. This is very true.
Kiongozi gani unayemjua kakuwa bika hiyo dhiki au kakuwa kitajiri?
 
Tambua kuwa mabalozi wawili hawawez kutana nchi moja, Balozi anaemaliza muda wake bado yupo malawi mpka mwenz wa nane ndo anaondoka na kuja nchini mkabidh polepole mikoba.
Ndicho alichokisema mwenyewe Polepole kwenye mahojiano ya kipindi cha Diplomasia cha UTV kilichorushwa leo.
 
Kwa hiyo Mh Balozi Polepole kachwanjwa chanjo ya covid ili asiukose ubalozi wa Malawi?
 
Tambua kuwa mabalozi wawili hawawez kutana nchi moja, Balozi anaemaliza muda wake bado yupo malawi mpka mwenz wa nane ndo anaondoka na kuja nchini mkabidh polepole mikoba.

Kwa nini walimuwahisha kumpa huo ubalozi? Wangemuacha aendeleze lile darasa lake la kuwafungua vipofu macho.
 
Hivi ni nani anahudumia watanzania kwa huduma za ubalozi? Nani anafanya kazi za Tanzania huko Malawi? Polepole anazunguka tu humu nchini wakati hapo Malawi hata kwa basi la Sauli au Super Feo anafika

Kama hujui haya mambo tulia hivi mnajua historia mfano Mzee comrade Capt hayati Jaka Mwambi Dr, alikaa muda gani kwenda kuripoti Urusi kama Balozi, akiwa anakaa Peacock Hotel Milenium Tower, Miaka hiyo na wengineo, Hati za ubalozi sio pipi.
 
Mbona waganga wanamchanja Kinga asilogwe

Ulimpeleka wewe kwa mganga ukashuhudia? Au ulitaka kumloga dawa zikakurudia na ndio maana akili zako ziko kinembeni?
Watanzania kila siku nasema ni watu wa hovyo sana... vichwa maji...

nazani kama mmemsikia waziri wa ulinzi kuhusu mkakati wanao andaa kumaliza tatizo lililopo kati ya tanzania na malawi ungeelewa zaidi

kwanini usiweke taarifa za mpaka wa tanzania na malawi kuwa tofauti na ilivyokuwa huko nyuma, kwanini usiulize kuhusu ziwa nyasa kuitwa ziwa malawi hivi sasa?

sasa serikali ina sema wapo katika kulitatua haya kidiplomasia... swala kwa nini yupo dodoma au tanzania lina kuchanganya...

lakini juzi balozi possi alikuwepo hapa tanzania, na dr. slaa alikuwa ana kuja mara kwa mara na alikuwa ana alikwa ktk vyombo vya habari, haya hayakuwa na maana sababu hamuelewi au hatuelewi mabalozi shughuli zao na uwajibikaji wao... na mengine mengi

Lakini hiyo mifano yake sio relevant kwa Polepole kwasababu wakina POSSi wamekwisha report na wako kwenye station zoo; Polepole bado hajareport kwa Rais wa Malawi Hivyo hajapresent credentials zake kwa Rais wa Malawi!!
 
Hivi ni nani anahudumia watanzania kwa huduma za ubalozi? Nani anafanya kazi za Tanzania huko Malawi? Polepole anazunguka tu humu nchini wakati hapo Malawi hata kwa basi la Sauli au Super Feo anafika

Yawezekana kikwazo ni chanjo!! Hata hivyo anaweza kuhudumia ofisi yake ya ubalozi Malawi ONLINE!!
 
Inabidi awe analipwa per diem kwa sababu yupo nje ya kituo chake cha kazi🐒
 
Kama hujui haya mambo tulia hivi mnajua historia mfano Mzee comrade Capt hayati Jaka Mwambi Dr, alikaa muda gani kwenda kuripoti Urusi kama Balozi, akiwa anakaa Peacock Hotel Milenium Tower, Miaka hiyo na wengineo, Hati za ubalozi sio pipi.
Malawi wamemkataa?
 
Back
Top Bottom