Hivi ni nani anahudumia watanzania kwa huduma za ubalozi? Nani anafanya kazi za Tanzania huko Malawi? Polepole anazunguka tu humu nchini wakati hapo Malawi hata kwa basi la Sauli au Super Feo anafika
labda hajapewa allowance $ ya kuishi blantyre bado ha haaHivi ni nani anahudumia watanzania kwa huduma za ubalozi? Nani anafanya kazi za Tanzania huko Malawi? Polepole anazunguka tu humu nchini wakati hapo Malawi hata kwa basi la Sauli au Super Feo anafika
ingia ktk website ya ubalozi huko malawi utaona kuwa ofisi kuna balozi...Ulimpeleka wewe kwa mganga ukashuhudia? Au ulitaka kumloga dawa zikakurudia na ndio maana akili zako ziko kinembeni?
Lakini hiyo mifano yake sio relevant kwa Polepole kwasababu wakina POSSi wamekwisha report na wako kwenye station zoo; Polepole bado hajareport kwa Rais wa Malawi Hivyo hajapresent credentials zake kwa Rais wa Malawi!!
DuuuuuuNchi inavuja kila mahali ,,naitwa abihudi palangyo siombi msamahaaaa
Wewe jamaa ni mtu wa ajabu sana kwa WIVU WA KIJINGA.Hivi ni nani anahudumia watanzania kwa huduma za ubalozi? Nani anafanya kazi za Tanzania huko Malawi? Polepole anazunguka tu humu nchini wakati hapo Malawi hata kwa basi la Sauli au Super Feo anafika
Ki Polepole kina sura ya dhiki kama TULIA ACKSON Hawa watu ndio Zitto Kabwe alituambia wazikwe na yule BEDUI JIwE.Mm kama kawaida huwa sikosei, ukiona mtu amekuwa kwa shida sana au ana sura ya dhiki sana au shida sana, ukimpa uongozi mjue mmeumia. This is very true.
Alisoma MA DS ikaanza kuleta shidaYaani amesoma muda mrefu sana, nadhani atakuwa na kichwa kizito, nawaza eti naye alikuwa na darasa la uongozi wakati shule fupi ya diplomasia imemtoa jasho
Haya umeyatoa wapi?Balozi alisharudi Tz toka week iliyopita.Tambua kuwa mabalozi wawili hawawez kutana nchi moja, Balozi anaemaliza muda wake bado yupo malawi mpka mwenz wa nane ndo anaondoka na kuja nchini mkabidh polepole mikoba.