Polepole analipwa mshahara kama Balozi, lakini mpaka leo yuko Dodoma. Watanzania Malawi wanateseka

Polepole analipwa mshahara kama Balozi, lakini mpaka leo yuko Dodoma. Watanzania Malawi wanateseka

Hivi ni nani anahudumia watanzania kwa huduma za ubalozi? Nani anafanya kazi za Tanzania huko Malawi? Polepole anazunguka tu humu nchini wakati hapo Malawi hata kwa basi la Sauli au Super Feo anafika

Hivi ni nani anahudumia watanzania kwa huduma za ubalozi? Nani anafanya kazi za Tanzania huko Malawi? Polepole anazunguka tu humu nchini wakati hapo Malawi hata kwa basi la Sauli au Super Feo anafika

labda hajapewa allowance $ ya kuishi blantyre bado ha haa
 
Ulimpeleka wewe kwa mganga ukashuhudia? Au ulitaka kumloga dawa zikakurudia na ndio maana akili zako ziko kinembeni?

Lakini hiyo mifano yake sio relevant kwa Polepole kwasababu wakina POSSi wamekwisha report na wako kwenye station zoo; Polepole bado hajareport kwa Rais wa Malawi Hivyo hajapresent credentials zake kwa Rais wa Malawi!!
ingia ktk website ya ubalozi huko malawi utaona kuwa ofisi kuna balozi...

ebu jishughulishe, usitafute msemaji ili akusemee
 
Hivi ni nani anahudumia watanzania kwa huduma za ubalozi? Nani anafanya kazi za Tanzania huko Malawi? Polepole anazunguka tu humu nchini wakati hapo Malawi hata kwa basi la Sauli au Super Feo anafika

Wewe jamaa ni mtu wa ajabu sana kwa WIVU WA KIJINGA.
 
Mm kama kawaida huwa sikosei, ukiona mtu amekuwa kwa shida sana au ana sura ya dhiki sana au shida sana, ukimpa uongozi mjue mmeumia. This is very true.
Ki Polepole kina sura ya dhiki kama TULIA ACKSON Hawa watu ndio Zitto Kabwe alituambia wazikwe na yule BEDUI JIwE.
 
Yaani amesoma muda mrefu sana, nadhani atakuwa na kichwa kizito, nawaza eti naye alikuwa na darasa la uongozi wakati shule fupi ya diplomasia imemtoa jasho
Alisoma MA DS ikaanza kuleta shida
 
Inawezekana Polepole alikunja pesa nyingi sana wakati wa utawala wa Kayafa ndio maana hana haja na vyeo vidogovidogo mbona mwenzake Bashiru katulia kimya
 
Tambua kuwa mabalozi wawili hawawez kutana nchi moja, Balozi anaemaliza muda wake bado yupo malawi mpka mwenz wa nane ndo anaondoka na kuja nchini mkabidh polepole mikoba.
Haya umeyatoa wapi?Balozi alisharudi Tz toka week iliyopita.
 
Back
Top Bottom