Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Yap... Alikuwa anamjibu Ezekiel Kamwaga aliyesema kuwa Polepole kadanganya kuhusu bei ya mtungi wa gesi Cuba.Leo kahutubia tena?
Kanikosha alivyokuwa anaichambua mitaa ya Cuba na maeneo yake... Halafu hajajibu Moja kwa moja, katoa darasa kwanza la mambo ya viwango vya unadilishanaji fedha na yahusikayo.Kichwa kina ushapu wa kutisha kile, tani kila kitu ni kama kaandika kumbe kinatoka kichwani
CHADEMA mamlaka na madaraka hayagawiwi kimizengwe kama huko kwenu CCM.itabidi tumpe nafasi ya Lissu.
Ukweli ndivyo ulivyo tabia yake... Kwa wakristo aliyemkana Yesu mara tatu ni Petro, ila ni yeye huyo huyo ambaye Yesu alisema juu yake atalijenga Kanisa lake na si Yohana aliyekuwa ndugu na rafiki wa YESU.Watanzania tuna shida mahali...... Sitashangaa siku MUSUKUMA akikengeuka akasifiwa kwa Dokta yake.
πππππHuyu Polepole ndio anatakiwa kuitwa JASUSI BOBEZI na sio wale majasusi uchwara wasiotaka kustaafu licha ya uguluguja walionao.
MAGULUGUJA SUGU yamegoma kustaafu huku yakijaribu kupambana na MAJASUSI BOBEZI yenye nguvu na uhodari.
Ngoja nirudi Tanganyika mtanitambua, wahuni wote mtanyooka kama rula.
We chiembe na propaganda zako dhaifu uanze kujipanga.
GulugujaπππHuyu Polepole ndio anatakiwa kuitwa JASUSI BOBEZI na sio wale majasusi uchwara wasiotaka kustaafu licha ya uguluguja walionao.
MAGULUGUJA SUGU yamegoma kustaafu huku yakijaribu kupambana na MAJASUSI BOBEZI yenye nguvu na uhodari.
Ngoja nirudi Tanganyika mtanitambua, wahuni wote mtanyooka kama rula.
We chiembe na propaganda zako dhaifu uanze kujipanga.
Leo hiyo!?πUwezo Mkubwa wa Kiakili alionao Polepole , Ni wa Kukaa na Akina LISSU tu.
Shetani alikuwa malaika mkuu.....lkn Sasa ni shetani na wala haitwi malaika mkuu.Watanzania tuna shida mahali...... Sitashangaa siku MUSUKUMA akikengeuka akasifiwa kwa Dokta yake.
Kwann hapa Tanzania hawatoi hiyo ruzuku ili mtungi wa kilo 30 uuzwe TShs: 500 (mia tano)?Kuna kitu ananichanganya hapa -- kwanini hataji ni ruzuku?