Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
- Thread starter
-
- #21
Kwamba Serikali inaweka ruzuku... Sawa, sisi tunashindwa nini kuweka ruzuku...Kuna kitu ananichanganya hapa -- kwanini hataji ni ruzuku?
lakini mbona nimeulizia kwenye chatgpt anipe bei ya gesi LPG kwa mtungi wa 20 kg na ikanipa bei ya ajabu, inakuwaje?Yap... Alikuwa anamjibu Ezekiel Kamwaga aliyesema kuwa Polepole kadanganya kuhusu bei ya mtungi wa gesi Cuba.
Kama polepole anatoa tahadhari kwamba tunapigwa , basi ni lazima tuhakikishe pia nayeye hatupigiKwann hapa Tanzania hawatoi hiyo ruzuku ili mtunhi wa kilo 30 uizwe sh. 500 (mia tano)?
Mbona husemi hio bei ya ajabu?lakini mbona nimeulizia kwenye chatgpt anipe bei ya gesi LPG kwa mtungi wa 20 kg na ikanipa bei ya ajabu, inakuwaje?
Anajibiwa na Machawa!Yale mambo yenu ya kutegemea waropokaji kumjibu Humphrey Polepole, CCM acheni...
Huyu mwamba anaongea kisomi Sana, kiasi kwamba hata wale "Spin doctors" wenu wanapaswa kurudi darasani ili waweze kupimana ubavu na huyu mwamba.
Key word ni "kama". Hakikisha hiyo "kama" kama ni kweli au la.Kama polepole anatoa tahadhari kwamba tunapigwa , basi ni lazima tuhakikishe pia nayeye hatupigi
Kama kuna ruzuku ya serikali ,kitendo cha kutotaja kunaleta ukakasi .
Sijapinga nasisi kupewa ruzuku mtungi uuzwe 500 mkuu, kwa sababu sio kila bidhaa serikali inauwezo wa kutia ruzuku
KATAA WAHUNI, OKOA TANGANYIKA.✍️📌Yale mambo yenu ya kutegemea waropokaji kumjibu Humphrey Polepole, CCM acheni...
Huyu mwamba anaongea kisomi Sana, kiasi kwamba hata wale "Spin doctors" wenu wanapaswa kurudi darasani ili waweze kupimana ubavu na huyu mwamba.
Bidhaa gani muhimu hapa Tanzania ambayo Serikali inaweka ruzuku. Kwenye maelezo yake kaeleza vizuri sana. Msikilize kwa makini hakuna kitu ameficha.Kama polepole anatoa tahadhari kwamba tunapigwa , basi ni lazima tuhakikishe pia nayeye hatupigi
Kama kuna ruzuku ya serikali ,kitendo cha kutotaja kunaleta ukakasi .
Sijapinga nasisi kupewa ruzuku mtungi uuzwe 500 mkuu, kwa sababu sio kila bidhaa serikali inauwezo wa kutia ruzuku
Yale mambo yenu ya kutegemea waropokaji kumjibu Humphrey Polepole, CCM acheni...
Huyu mwamba anaongea kisomi Sana, kiasi kwamba hata wale "Spin doctors" wenu wanapaswa kurudi darasani ili waweze kupimana ubavu na huyu mwamba.
Hahaha viongozi wote wake zao walikuwa wabunge wa viti maalumu mpaka dda yake Lissu.CHADEMA mamlaka na madaraka hayagawiwi kimizengwe kama huko kwenu CCM.
Hata hivyo siyo hoja ya bandiko hili.
Nachopingana naye ni kutotaja kwamba serikali ya cuba inaweza ruzuku kwenye gesi, kitendo cha kutotaja ni dalili za nia ovu kama anavyo eleza wanamtandao wanavyozitumia.Kwamba Serikali inaweka ruzuku... Sawa, sisi tunashindwa nini kuweka ruzuku...
Kwa mfano kwenye gesi bila ya kuweka faida ya muuzaji wa mwisho, bei halisi mpaka mtungi unafika kwa mtumiaji ni shilingi ngapi?
Kuna wakati bei ya mafuta nchi nyingine zinazotuzunguka yalikuwa chini kuliko hapa wakati mafuta hayo yanapitishwa kwenye nchi yetu.
Au nenda tunduma uone bei ya sukari toka nchi jirani ilivyo chini ukilinganisha na ya hapa kwetu.
Kuna mahali tunapigwa.
Mwashambwa wako kazidiwa nguvu na polepole, saiv yuko anapost ng'ombe wa mama wanavyoswagwa kupelekwa machinjioni (mikutanoni)Leo hiyo!?😂
Kama mtu ameamua kukaa kwenye njia sahihi unataka umuue?Watanzania tuna shida mahali...... Sitashangaa siku MUSUKUMA akikengeuka akasifiwa kwa Dokta yake.
"Kama" ya ruzuku ni uhakika mkuuKey word ni "kama". Hakikisha hiyo "kama" kama ni kweli au la.
Na kwa stail hii mnataka kushoka dolaShetani alikuwa malaika mkuu.....lkn Sasa ni shetani na wala haitwi malaika mkuu.
Paulo alikuwa muuaji akiitwa Sauli......lkn aliishia kuwa mtume mwenye kuandika nyaraka nyingi sana.
Usitusumbue na misimamo yako
Ngoja ntairudia tenaBidhaa gani muhimu hapa Tanzania ambayo Serikali inaweka ruzuku. Kwenye maelezo yake kaeleza vizuri sana. Msikilize kwa makini hakuna kitu ameficha.
Aliposema Cuba ni nchi ya kishoshalisti wanaojua mifumo ya kisiasa ya Dunia wanajua jinsi washoshalisti wanavyoweka ruzuku kwenye mambo mengi.