Unauhakika gani kwamba kaamua kukaa njia sahihi ndipo wanamageuzi mnapofail hapo..... Ni kipi alichokiongea polepole ambacho ni kipya na hakijawahi kuongelewa???Kama mtu ameamua kukaa kwenye njia sahihi unataka umuue?
Tunahitaji wengine wengi kama Polepole kukaa upande sahihi na tutawapokea wananchi...
wajeda hawahusiki na siasa zenu.Mimi natamani Wajeda wangemfanya kuwa Traure wetu (asiye na magwanda)!
Ana fahamu mambo mengi sana ya nchi hii.
Ogopa mtu ambaye kila kitu anajote kwenye kinoti book sehemu nilikuwa na boss wangu huyo type za polepole oyaa sio poa huwa wana akili na kujua kupangilia mambo kwa point sana.Yale mambo yenu ya kutegemea waropokaji kumjibu Humphrey Polepole, CCM acheni...
Huyu mwamba anaongea kisomi Sana, kiasi kwamba hata wale "Spin doctors" wenu wanapaswa kurudi darasani ili waweze kupimana ubavu na huyu mwamba.
Watanzania wanapigwa kwenye maeneo mengi sana kwa manufaa ya kikundi kidogo sana kisicho na ubinadamu hata kidogo.Kwamba Serikali inaweka ruzuku... Sawa, sisi tunashindwa nini kuweka ruzuku...
Kwa mfano kwenye gesi bila ya kuweka faida ya muuzaji wa mwisho, bei halisi mpaka mtungi unafika kwa mtumiaji ni shilingi ngapi?
Kuna wakati bei ya mafuta nchi nyingine zinazotuzunguka yalikuwa chini kuliko hapa wakati mafuta hayo yanapitishwa kwenye nchi yetu.
Au nenda tunduma uone bei ya sukari toka nchi jirani ilivyo chini ukilinganisha na ya hapa kwetu.
Kuna mahali tunapigwa.
🫣🫣🫣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mafuru na chiki😜😜😜😜✌️✌️✌️😂✌️True
Sasa serikali ya ccm unakuta inamtuma mwijaku au stevenyerere ajibu si AIBU hiyo🤣🤣🤣🤣🤣
Kuwa kipya au cha zamani siyo hoja .. je ni cha kweli?Unauhakika gani kwamba kaamua kukaa njia sahihi ndipo wanamageuzi mnapofail hapo..... Ni kipi alichokiongea polepole ambacho ni kipya na hakijawahi kuongelewa???
Yaani na jana eti yule kirundu wa CCM Dar mume/mke wa Hawa Bananga naye anawajibu Polepole na Gwajima! Hiyo akili ya kujibu vichwa vyenye akili sijui anaitoa wapi?True
Sasa serikali ya ccm unakuta inamtuma mwijaku au stevenyerere ajibu si AIBU hiyo🤣🤣🤣🤣🤣
Hakika wanaachane na watu wenye akili kubwaYaani na jana eti yule kirundu wa CCM Dar mume/mke wa Hawa Bananga naye anawajibu Polepole na Gwajima! Hiyo akili ya kujibu vichwa vyenye akili sijui anaitoa wapi?
Wanadhani akili ya kujua aina za pombe ndio akili tuwezayo kuipima na kina polepole?
Wajibizane wao kwa wao maana ni ngumbaru
Kamjibu muandishi wa habari muandamizi ambaye chanzo chake cha taarifa ni google, Kaelezea kuhusu gharama za LPG gas ya kilo 10 bei yake Ina karibia 2,000 elfu mbili kumbe tunalipia gesi mara 30 zaidi kwasababu viongozi wetu wana akili sana kuliko wananchi woteLeo kahutubia tena?
Ukirudi mtie dole Chiembe na mwashambwaHuyu Polepole ndio anatakiwa kuitwa JASUSI BOBEZI na sio wale majasusi uchwara wasiotaka kustaafu licha ya uguluguja walionao.
MAGULUGUJA SUGU yamegoma kustaafu huku yakijaribu kupambana na MAJASUSI BOBEZI yenye nguvu na uhodari.
Ngoja nirudi Tanganyika mtanitambua, wahuni wote mtanyooka kama rula.
We chiembe na propaganda zako dhaifu uanze kujipanga.
Watu wenye matumbo makubwa kama kamwaga huyatetea MATUMBO YAO KwanzaYap... Alikuwa anamjibu Ezekiel Kamwaga aliyesema kuwa Polepole kadanganya kuhusu bei ya mtungi wa gesi Cuba.
Fomu ya kugombea Urais 2020 kupitia CCM ni moja tuUwezo Mkubwa wa Kiakili alionao Polepole , Ni wa Kukaa na Akina LISSU tu.
hakuna usomi wowote. angekuwa proffesor sawa. sasa ana kibachelor tena cha gpa ya 2.4. Ndo maana wasomi wamempuuza. wamemwachia akina mwijaku wamjibu mana ndo size yakeYale mambo yenu ya kutegemea waropokaji kumjibu Humphrey Polepole, CCM acheni...
Huyu mwamba anaongea kisomi Sana, kiasi kwamba hata wale "Spin doctors" wenu wanapaswa kurudi darasani ili waweze kupimana ubavu na huyu mwamba.
Ndiyo tatizo lenu CCM, huwa uwezo wenu wa kuchanganua mambo. Hakuna mahali nimesema Polepole ni msomi bali nimesema anaelezea mambo yake kisomi.hakuna usomi wowote. angekuwa proffesor sawa. sasa ana kibachelor tena cha gpa ya 2.4. Ndo maana wasomi wamempuuza. wamemwachia akina mwijaku wamjibu mana ndo size yake
mwenye ushawishi ni Yesu aliyekufa na kufufuka siyo Mohamad aliyekufa mazimaNdiyo tatizo lenu CCM, huwa uwezo wenu wa kuchanganua mambo. Hakuna mahali nimesema Polepole ni msomi bali nimesema anaelezea mambo yake kisomi.
Sasa awe msomi ama lah! Hilo ni jambo jingine... Usomi haupimwi kwa GPA. Hebu weka hapa GPA ya Plato na Socrates tuone zilikuwaje?
Unajua kwa sasa mtu mwenye ushawishi duniani ni Mtume Mohamed (SAW)? Unajua kuwa alikuwa hajui kusoma ama kuandika?