Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,056
- 6,208
Asante sana kwa mapokeo hahahahaha🤣🤣 timepokea salamu
Muhuni mkubwa na kubwa lao aka godfather yuko chato kalalaYule mwamba aliyepewa jina la kiroboto na wahuni anawasalimia sana na hivi punde kupitia ukurasa wake wa Twitter atawatakia kheri ya Sikukuu ya Noeli.
Kikubwa ametuomba tuendelee kuwakataa wahuni kupitia hashtag yake aliyoianzisha ya #kataawahuni
"Ulipo tupo" walikuwa hata na uwezo wa kuchakachua mafuta ya magari ya rais halafu yanazima ghafla akiwa barabarani. Mnaikumbuka hii kadhia? "Ulipo tupo" walijipanga bhana. Huyu Polepole hana base yoyote.waulizeni "ulipo tupo" pamoja yakuwa full equiped walisambaana wote
Fanyeni kazi siasa zitawamalizaaa
Sijui mara wahuni wengine na sijui wanaitwaje?
Kila siku mnalalamaaa
Ova
Si ndiyo hapoHalafu wanakuja hapa ooooh V8 mbona dar ziko nyingi...oooooh mbona watu wanakula bata kidimbwi...
Muhuni mwingine anatumikia mvua 30 kule Kisongo Arusha kwa ujambazi wa kutumia silaha,na bado ana kimeo kingine kinaendelea kumkalia vibaya kwa pilatoMuhuni mkubwa na kubwa lao aka godfather yuko chato kalala
Apambane na Hali yake.Yule mwamba aliyepewa jina la kiroboto na wahuni anawasalimia sana na hivi punde kupitia ukurasa wake wa Twitter atawatakia kheri ya Sikukuu ya Noeli.
Kikubwa ametuomba tuendelee kuwakataa wahuni kupitia hashtag yake aliyoianzisha ya #kataawahuni
Wahuni hawakubaliki hata kidogo...ni lazima waondoke....Slogan: Kataa Wahuni Tanzania (KWT)....Yule mwamba aliyepewa jina la kiroboto na wahuni anawasalimia sana na hivi punde kupitia ukurasa wake wa Twitter atawatakia kheri ya Sikukuu ya Noeli.
Kikubwa ametuomba tuendelee kuwakataa wahuni kupitia hashtag yake aliyoianzisha ya #kataawahuni