Polepole anawasalimia sana na ameanzisha #kataawahuni.

tuchape kazi,mengine tuwaachie wenyewe ,wanyukane,atakaye shindwa aombe suluhu !!
 
Reactions: Ame
Huyu mpuuzi tu. Kama ni wahuni na yeye alikuwa kinara nao mpaka juzi kati hapo March 2021.

Sasa wanamuonjesha taste ya dawa yake mwenyewe
 
Haya majamaa yanazidi kuwa vichaaa
 
Hivi kumbe...Nakuonea huruma sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…