Polepole anazungumza usiku huu Rais Samia asigombee anatakiwa apumzike

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Ndugu Humphrey Polepole ameibuka usiku huu wa tarehe 24, agasti amefunguka wazi sababu za kwanini Rais Samia hatakiwi kugombea na kumtaka apumzike.

Katika maelezo yake ameweka wazi namna ambavyo Rostam Azizi anazidi kujizolea utajiri mwingi kwa kutumia maliasili za nchi hasa migodi ambayo ya makaa na madini anapewa na serikali ya Samia.

Your browser is not able to display this video.
 
Nimekosa cha kuandika nimeuona Bora niandike hivi tu. Nina hasira sana
 
Sio kweli, Rais Samia bado ana nguvu na uwezo mkubwa wa kuongoza taifa kwani,Uongozi si mzigo kwake, ni nafasi ya kuwatumikia wananchi, hivyo bado anastahili kugombea
 
Ninachofahamu siku zote; Kiongozi dhaifu/ legelege husababisha kuwepo pia na taasisi/idara dhaifu/ legelege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…