Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Kwanini afanyiwe haya kwa kosa gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NamzidiVip unalingana nae? Au anakuzid?
Duh, aheri shetani ana nafuu!😬Polepole aliandaa kundi la wabunge wakiwemo akina Luhaga Mpina na Joseph Musukuma na genge lao wagomee bajeti ya serikali, mmoja baada ya mwingine wanaliwa vichwa, watafutwa wote hata kama ikibidi kuitisha uchaguzi mdogo wa ubunge.
Angepelekwa mbali kabisa halafu anyanganywe passport, mshahara apokee tarehe 70, anyimwe Hela ya umeme na maji ya nyumbani kwake, posho zote zichelewe au zisifike kabisa, asipewe wasaidizi ikiwamo dereva, awe anazurura mwenyewe, na mwisho atafutiwe vibaka wamuibie kila kitu
Mongolia duuuh aisee msamehen bure[emoji28]Salaam Wakuu,
Natumaini kesho Polepole atasusia Kuapishwa. Sababu alisema ubunge ukiisha hagombei tena. Pia alisema ana misimamo yake haiyumbishwi wala hababaishwi na mtu yoyote.
Polepole ana bahati. Kakutana na rais Samia ana huruma. Kampeleka karibu hapo Malawi ikitaka kusalimia atapanda Basi aje Nchini.
Namshauri Rais, miezi sita ikiisha amteue mtu mwingine kuwa Balozi Malawi. Tufanye kama tulivyofanya kwa John Nchimbi. Ubalozi uyeyuke juu kwa juu kabla ya Christmas ya Mwaka huu.
Pia namshauri akishaapishwa kama atakubali, basi aende kwenye kituo chake cha kazi harakahara bil kupita kuaga aga. Kumbukumbu za kifo cha mwenda zake akawaongoze wafanyakazi wa Ubalozi huko Malawi.
Pia Polepole namuombea msamaha kwa TCRA na Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Wamruhusu na wamsamehe aendelee na Shule ya Uongozi huko malawi.
Alhaji Abdallah Majula Bulembo alishamshauli, mtu wenye hekima, upipo ukipuliza unainama. Na ule mti usioinama hung'oka na mizizi yake.
View attachment 2150551
Angepelekwa UkraineSalaam Wakuu,

Nimecheka Sana,daaah MWSHO ATA ILE HELA ANAYOPATA KWA KUCHELEWESHEWA ATAFUTIWE VIBAKA WAIKWIBE[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]daaah nimeongea siku za kuishiPolepole aliandaa kundi la wabunge wakiwemo akina Luhaga Mpina na Joseph Musukuma na genge lao wagomee bajeti ya serikali, mmoja baada ya mwingine wanaliwa vichwa, watafutwa wote hata kama ikibidi kuitisha uchaguzi mdogo wa ubunge.
Angepelekwa mbali kabisa halafu anyanganywe passport, mshahara apokee tarehe 70, anyimwe Hela ya umeme na maji ya nyumbani kwake, posho zote zichelewe au zisifike kabisa, asipewe wasaidizi ikiwamo dereva, awe anazurura mwenyewe, na mwisho atafutiwe vibaka wamuibie kila kitu
Upi?wivu mbaya sana
KabisaAu apelekwe Ukraine kabisa
Lakini hayo ndio tunayotaka, au mnapenda raisi kusifiwa kila kitu ndani ya chama?Kabisa
Hiki ni kiwango cha juu cha roho mbaya kwa binadamu mwenzakoPolepole aliandaa kundi la wabunge wakiwemo akina Luhaga Mpina na Joseph Musukuma na genge lao wagomee bajeti ya serikali, mmoja baada ya mwingine wanaliwa vichwa, watafutwa wote hata kama ikibidi kuitisha uchaguzi mdogo wa ubunge.
Angepelekwa mbali kabisa halafu anyanganywe passport, mshahara apokee tarehe 70, anyimwe Hela ya umeme na maji ya nyumbani kwake, posho zote zichelewe au zisifike kabisa, asipewe wasaidizi ikiwamo dereva, awe anazurura mwenyewe, na mwisho atafutiwe vibaka wamuibie kila kitu
Polepole aliandaa kundi la wabunge wakiwemo akina Luhaga Mpina na Joseph Musukuma na genge lao wagomee bajeti ya serikali, mmoja baada ya mwingine wanaliwa vichwa, watafutwa wote hata kama ikibidi kuitisha uchaguzi mdogo wa ubunge.