Polepole angepewa ubalozi wa Mongolia, Nicaragua au El Salvado ili ajifunze kuheshimu Wakubwa

Duh, aheri shetani ana nafuu!😬
 
Mongolia duuuh aisee msamehen bure[emoji28]
 
Angepelekwa Ukraine
 
Nimecheka Sana,daaah MWSHO ATA ILE HELA ANAYOPATA KWA KUCHELEWESHEWA ATAFUTIWE VIBAKA WAIKWIBE[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]daaah nimeongea siku za kuishi
 
Hata akinyang'anywa baada tu ya kuapishwa, CV yake haitakuwa sawa na ambaye hajawahi kuteuliwa hata ubalozi wa nyumba 10.

Kuna kitu watanzania wengi huwa tunachukulia kawaida, hasa pale mtu anapotenguliwa nafasi au cheo fulani ambacho pengine hata mmojawapo wa ukoo/familia hajawahi hata kukipata.
 
Polepole ni mzalendo wa chama asiyeyumba! Wengineyo walipoyumba yeye alikitetea chama mpaka mwisho!
 
Dogo wahuni wakamfundisha adabu...akakuta getto jeupee dadadeq....bahati yake hakuwemo maana c mnajua wahuni walivyo..!! wana deal na vitu adimu tu.
 
Hiki ni kiwango cha juu cha roho mbaya kwa binadamu mwenzako
 

Mhhhh Una roho mbaya wewe…utakua unauza sumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…