Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Unaweza mwita mwalimu wa darasa huru la siasa za ccmU Genius wake ni upi? Nakumbuka aliwahi sema bila katiba mpya uwajibikaji hauwezi patikana je alipokua Mbunge aliwahi dai katiba tena??
Aliwahi sema CCM haijawahi shinda uchaguzi kwa uhuru na haki lakini alipokua katibu muenezi alifanya nni kuhakikisha CCM inashinda kupitia chaguzu huru na haki??
Aliwahi sema vyeo kma ma DC havifai zaidi ya kulipana fadhila!! Mbona alipoteuliwa kuwa DC wa ubungo hakukataa teuzi??
Ni hivi Polepole anaongea haya baada ya kuona hana chake serikali hii, ila kama issue ni mikopo mbona alikua anatetea deni la taifa lilipokua linaongezeka kipindi cha JPM kwa hoja kwamba lina jenga nchi kupitia miundombinu??? Leo hii kwa Mama haangalii faida ya mkopo ila anaangalia implications zake kwenye ukoloni mamboleo?? Kwanini hizi double standards??
This man is not a genius ni mnafiki tu, leo akirudishwa serikalini trust me atakua wa kwanza kusifia chanjo na tozo!!