Polepole apinga utaratibu wa kuwahamisha machinga, amuonya RC Dar. Ashutumu mikopo kusababisha utegemezi

Unaweza mwita mwalimu wa darasa huru la siasa za ccm
 
Polepole lijinga la mwendazake.Anatakiwa aende Burundi!
 
Ofcourse Mikopo ni kandamizi hilo linajulikana sababu hatujaanza kukopa leo na miradi mingi iliyoanzishwa kabla kwa wakati mmoja ndio inaleta haya yote..., Je kwanini hakuanza kusema haya tangi awali..., Pili RC kutenda haki ni kufanya nini ? Kusimamia Sheria zilizopo au wenyewe hapo nyuma waliokuwa wanavunja hizo Sheria eti wanatetea wanyonge ? Yanapotea maafa ya watu kuwa kwenye road reserve na kuhatarisha maisha ya watu ndio utetezi?
 
Kila jambo na zama zake..

Huyu zama zake zimepita na wao pia walikopa hvohvo...

Akaushe tu asije akapewa kesi ya kubaka aishie Segerea.. Japo anachosema kina make sense.
Mkuu haki make sense kabisa.
For 5 good years hawakufanya lolote kutatua matatizo ya watu wa chini, ila waliwatukuza na kuwatumia kisiasa ili wabaki madarakani.
Rural to Urban migration, sijui kama kina Polepole na mentor wao mwendazake walilijua huli tatizo na kulipangia mikakati ya kutatua
Badala yake “wanyonge” waliruhusiwa kuvunja sheria zote za afya na mipango miji, hadi zile za biashara.
Nchi ikawa inajiendesha kijinga kijinga tu mijini.
 
CCM mwaka huu lazima wapasuane, tena watapasuana vibaya. Ni vita kati ya Msoga gang vs Sukuma gang. Wote ni wachawi, tena wachawi wakubwa. Tuwaache wachawi wauane na kuzikana.
 
Polepole alisema wapi kuwa serikali imepigwa copy?
 
Watanzania kama wana curse flani hivi.

Mfano present presida alikuwa kwenye serikali ile ile ambayo mzee wa vieti alikuwapo na huyo alikuwa na majukumu ya juu kuliko Humphrey ila, we seing what's going on.

Watanzania ni wanafiki, roho mbaya, wabinafsi na wazuri kusahau, hapa wanamlalamikia Humphrey na wengi hawajui maana ya uongozi na njia ya kumtumikia mtawala.
 
Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ndio utajua wanataka nini
 
Pole pole ametumia akili kubwa Sana kuanzisha hiiki kipindi chake, amejitengenezea mazingira yakuendelea kuishi kwenye siasa kwa kipindi hiki ambacho waliomweka kwenye Ubunge hawana Imani naye na alishiriki kuwatesa alipopewa madaraka.

Akipiga domo akiwa nyumbani kwake na kwakuzingatia anayofundisha ccm wengi hawana uelewa nayo na kwa kuzingatia ukweli kwamba anayofundisha yana ukweli na yanasukumwa na utafiti anazidi kupanda kisiasa japo mfumo hautamkubali.

Lakini pia tukumbuke Makamu wa Rais na Polepole Ni kitu kimoja hivyo ulinzi wa kisiasa anao
 
Atakuwa waziri wa Nishati naibu
 
Hana lolote huyu mnafiki mshamba. Anawalisha matango pori tu washamba wenzake.

Ni watu wajinga na washamba tu ndio wanaweza kufuatilia huo ujinga wake.

Mbona hakufundisha hiyo shule yake wakati wa awamu iliyopita?
 
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…