Polepole apinga utaratibu wa kuwahamisha machinga, amuonya RC Dar. Ashutumu mikopo kusababisha utegemezi

Wazee was kuunda tatizo na kulitatua
 
Ni mtu wa hovyo sn huyo mzee
 
Mpingeni Polepole kwa hoja sio vioja.
 
Pole pole Ana akili Sana na wakimfukuza ataongea ya Ndani ya chupi
Atafukuzwa.... Utaskia kakimbilia ACT alafu bado naye atalia lia tume huru kma Membe na Lowassa!! Wakati alipokua katibu mwenezi hakupigia chapuo tume huru.

Wanasiasa wa CCM huwa hawana vision kabisa. Walipaswa kujua ipo siku watageukwa so waandae mazingira mapema in case watafukuzwa.

Same to Gwajima na Polepole!! Hawana plan B kabisa.
 
Hali halisi yakuwa vianasiasa hukumbuki mengi bali maslahi binafsi ya wakati uliopo pekee na kwa ajilii pekee.
 
Mpingeni Polepole kwa hoja sio vioja.
Hoja ipi?
Kasema mikopo ya Mabeberu ni ukoloni na kwamba ni mtego wa kutuburuza kiuchumi.

Lakini kipindi cha JPM akikopa pesa za SGR alidai sio tatizo deni la taifa kupanda maana linaleta miundombinu!!

Sasa which is which??? Tuangalie faida ya mikopo kwenye kuleta miundombinu au tuangalie mikopo kama mtego wa mabeberu kutuburuza kiuchumi??
 
Reactions: BAK
Deni ka Taifa sasa hivi limefikia 77.51 Trillions.


 
Jitu hili ni jinga kabisa. Limetesa watu sana.
Lilipewa madaraka likasahau lilipotoka
Hana lolote, shenzi kabisa
 
Polepole kichwa sana huyu jamaa, naweza kumfananisha na mwalimu......sema mafisadi na mapiga dili yanafanya kila njia kuweza kumuingiza mkenge.
 
Mkufunzi mzalendo?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…