Polepole apinga utaratibu wa kuwahamisha machinga, amuonya RC Dar. Ashutumu mikopo kusababisha utegemezi

Ukiacha ayo mapungufu yake yote uliyoyataja hapo juu Lakini anachokiongea kweli au sikweli?
 
Hana lolote huyu mnafiki mshamba. Anawalisha matango pori tu washamba wenzake.

Ni watu wajinga na washamba tu ndio wanaweza kufuatilia huo ujinga wake.

Mbona hakufundisha hiyo shule yake wakati wa awamu iliyopita?
Alikua bado anaandaa Nondo za kufundishia Kila Jambo Lina wakati wake.
 
shida ya watanzania na WaAfrica huwa ni unafiki, Polepole aliponufaika na wengine kuumia alikuwa analeta dharau na kuona wengine wajinga huku akimini kila kitu kiko sawa, meza imepinduka anadai haki naye...
 
Mpingeni Polepole kwa hoja sio vioja.
Wengi humu hawana hoja ila Ni chuki binafsi zinawasumbua kwa sababu tunahitaji kuona mtu analeta utafiti wake na hoja zilizosimama kupangua anayoyasema polepole.
 
Ukiacha ayo mapungufu yake yote uliyoyataja hapo juu Lakini anachokiongea kweli au sikweli?
Hakunaga ukweli au uongo kwenye hoja yoyote ila inategemeana na maslahi yako yanaegemea wapi.

Mfano ukioa mwanamke mrembo utasikia "oooh nimepata mke mzuri". Ila mkigombana utasikia tena "uzuri wa mwanamke sio sura!!".

Same to Polepole kipindi ana enjoy mikopo ya kujenga flyover na SGR aliona inajenga nchi na uchumi ila kwa kuwa hana maslahi ndio ameamua kuangalia kwa jicho la unyonyaji wa watoa mikopo hiyo!! hata kama itajenga miundombinu na uchumi kma tu enzi za JPM!!
 
Anaeleweka na wapumbavu wenzake na mazuzu kama wewe.
Duh kwahiyo mkuu tayari umeshaniona ni zuzu kwa kutoa tathmini ya muelekeo wa shule ya Polepole

Taratibu polepole anaanza kueleweka
Nafikiri Matola unastahili kuomba radhi kistaarabu kwa kumuonea Zambotti. Ametoa maoni, umemporomoshea matusi, akakujibu bila matusi. Nina uhakika kama mjadala ungekuwa wa ana kwa ana usingemtolea matusi hadharani. Basi hivyohivyo hata nyuma ya key board tuendeleze ustaarabu.
 
Hakunaga ukweli au uongo kwenye hoja yoyote ila inategemeana na maslahi yako yanaegemea wapi.

Mfano ukioa mwanamke mrembo utasikia "oooh nimepata mke mzuri". Ila mkigombana utasikia tena "uzuri wa mwanamke sio sura!!".
Yale yale, Sizitaki mbivu hizi!

 
Nadhani ameshagundua kwamba yupo ukingoni na mashua unakaribia kupigwa dhoruba.

Namshauri achukue tissue aende washroom
 
Mzee Polepole rusidha chenji yetu kwanza iliyobaki kwenye ile biashara ya kununua madiwani na wabunge wa upinzani .
 
Hawa watu waliosoma zamani silabasi za ujamaa wameharibiwa Sana brain zao na sera za ukomunisti ambazo ni useless kwa ulimwengu wa sasa.Hio mikopo ipo afrika pekee?.Kama inakopwa kwisha haiendi kwenye uchumi sio kosa lao.
Unakopa unanua v8,ndege, ikulu mpya,Chato airport, kununua wapinzani, kurudia chaguzi feki, badala ya kupeleka kwenye kilimo, technology, elimu study kwa vijana.
Dalali wa malaya wa kisiasa shape your thinking tulishatoka kwenye thinking za kijamaa.
 
Nadhani ameshagundua kwamba yupo ukingoni na mashua unakaribia kupigwa dhoruba.

Namshauri achukue tissue aende washroom
Mfumo ukishawatupa akili urejea.
Watawala wa kiafrica huwa na akili baada ya kutoka madarakani.
 
sasa huyo harakaharaka sijui polepole, siaamie chadema tuu. Anachokisubiri ni nini sasa?
 
Ukoloni mambo leo, ubeberu ni useless ideology kwa zama hizi.
Hizi nadharia za kijima ziliasisiwa urusi kwenye ukomunisti katika chuo cha Patrick lumumba zikaingizwa kwenye silabus mashuleni waliosoma miaka ya 89 kurudi nyuma ndio waathirika wa silabus hizo.
Lengo la Mrusi lilikuwa ni kumuwini USA afrika enzi za vita baridi.
 
Huyu babu ni mjinga sn, kwani tunalazimishwa kwenda kukopa?
Kukopa ni kujitakia na ni kushindwa kwa viongozi wa ccm hawana mawazo mapya nje ya kukopa, wameshindwa kugeuza raslimali zetu kuwa pesa.
Wananchi dhoofu hali huku wamekalia mali, UHURU una maana gani sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…