Polepole apinga utaratibu wa kuwahamisha machinga, amuonya RC Dar. Ashutumu mikopo kusababisha utegemezi

Kwa nini wanamchekea huyu jamaa asifanywe kama kina Nape na Kinana? Kucheka na nyani utavuna mabua..

Hili tatizo walilisabanisha wao na mwendazake kama mtaji wa kura wakiwaita wanyonge huku wakiwatoza pesa za vitambulisho bila kuwasaidia kutoka kwenye unyonge .
 
Unajua VIEITE wewe? Naona kama ameyamiss madaraka makubwa aliyokuwa ana-enjoy chamani.
 
Polepole ni mgonjwa, kabla ya kuteuliwa ngozi ilikua imepauka kama gamba la kobe,
Hana lolote mjinga mpumbavu tu, amezoea majalala anatamani miji iwe majalala kwa kuwaacha wamachinga mitaani kunya mitaroni nk.
Lengo kuu la kutengeneza barabara ni kwa ajili ya machinga?
Mipango miji inasema wamachinga wakae barabarani?
Mwendazake alipobomoa kimara mbezi mbona hukunyanyua domo kukemea, au thamani ya zile nyumba ni ndogo kuliko thamani ya wamachinga.

Mapunguani ya kisukuma na misukule ya Chato yasije kupita kijijini kwangu gambushi nayaloga yawe mafisi
 
Mbona hakumzuia magufuli asichukuwe mkopo kujenga standard gauge na bwawa la mwalim nyerere?
 
Polepole anajihisi bado ni katibu wa siasa na uenezi
 
Eti wadau was Jamii Forum nao wanajiita ma Great Thinker aibu ilioje hii. Watu wamegoma kujadiri hoja wanajadiri watu ni upumbavu wa kiwango cha rami huu. Wengine bora mngebaki hukohuko face book mnatuchafulia jukwaa!
 
Hivi huyu kwanini na yeye asibambikwe kesi ya uhujumu uchumi, kama walivyo wafanyia wenzao wakati wapo madarakani?!
 
Hiyo mikopo ya Flyover na SGR ulimpa wewe?
 

Rais SSH hapa ulikubali .... ......
 
Tanzania mbwa zero brain zimejaa tele, crtical thinking ni zero, free thinking ni zero, kubishana kwa hoja na fikra ni afya mnataka civics, GS yawe masomo ya wachache?Acheni undezi wa kipumbavu, bisheni kwa hoja, elimu elimu elimu, kila anachofundisha kipo vitabuni, pumbavu zenu demokrasia na uhuru si ndio maana Samia karithi Urais, habari ya awamu ya tano inahusiana nini na darasa la polepole, nyie mandezi wa awamu ya sita fungueni na nyie shule za kusifu, mna akili za viazi mnaogopa elimu mnajishuku!!? Tanzania mijitu zero hata isome vipi inabaki viazi hisia za kitumwa na kijima ndio zinabaki kuwa nguvu. Kama mnaogopa elimu fungueni madarasa yenu ya kichawi ya kusifu. Tunasubiri vita na vifo vya nyumba kwa nyumba. Civil war haiko mbali mpeni hadhari ya hofu ya kuvuruga amani, umoja na mshikamano, wa tunduru na mbeya waandalieni makao yao ya kudumu ya kiutawala.
 
Hiyo mikopo ya Flyover na SGR ulimpa wewe?
Standard chartered na Export credit agencies za Sweden/Denmark + Yapi merkezi walifund zaidi ya dollar billion 2.8!! For phase 1 and 2.
 

Rais SSH hapa ulikubali .... ......
JPM kasema hapo asiyekubali ajiuzulu.... So either ukubali au upishe so she didn't have a choice really.

Anyway hapa napoishi kuna soko la kisasa limejengwa kwa mamillion ila halina wafanyabiashara coz wote wapo barabarani. So nadhani kma wataweza wote kupushiwa kuja huku ni jambo la kupongeza sio la kupinga.

Nchi ya uchumi wa kati haiwezi tegemea wamachinga lazima tuwe na strong middle class ambayo itakuja kma wafanyabiashara wadogo wata upgrade na kurasimishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…