Acha ujinga wako jamaa ni mazalendo wa nchi na msafi wa nafsi ameamua kuchagua fungu jema mwacheni.Tuliyesoma naye pale Azania tunamjua, kazi yake kubwa ilikuwa unoko kwa waalimu.
Kazi yake ilikuwa kuhakikisha anareport mambo wanayofanya wanafunzi.
Hana usafi huo, ila hapendi kuona watu wanafanya mambo Yao kwa utulivu, so unoko na uchochezi ndo anachojua.
Apuuzwe tu
Huyu ndio tunamtaka sasa aripoti wahuni wote pamoja na weweTuliyesoma naye pale Azania tunamjua, kazi yake kubwa ilikuwa unoko kwa waalimu.
Kazi yake ilikuwa kuhakikisha anareport mambo wanayofanya wanafunzi.
Hana usafi huo, ila hapendi kuona watu wanafanya mambo Yao kwa utulivu, so unoko na uchochezi ndo anachojua.
Apuuzwe tu
Tuliyesoma naye pale Azania tunamjua, kazi yake kubwa ilikuwa unoko kwa waalimu.

Alimaliza mwaka gani pale Azania?Tuliyesoma naye pale Azania tunamjua, kazi yake kubwa ilikuwa unoko kwa waalimu.
Kazi yake ilikuwa kuhakikisha anareport mambo wanayofanya wanafunzi.
Hana usafi huo, ila hapendi kuona watu wanafanya mambo Yao kwa utulivu, so unoko na uchochezi ndo anachojua.
Apuuzwe tu
Kamaliza mwaka gani?Acha Uongo Pole Pole alikuwa mtu fresh na nywele zake za brown ,alikuwa busy na makongamano ya TYCS na midahalo ,alikuwa hana muda na hayo uliyoyasema.
Ina maanisha mpaka kuweza ku report hayo mambo hayakuwa mambo mazuri. Maana sidhani walimu wangetilia maanani endapo ingekuwa anaenda kureport kuwa wanafunzi wanajisomea. Ni sawasawa na sasa anapoongelea uozo wa CCM.Kazi yake ilikuwa kuhakikisha anareport mambo wanayofanya wanafunzi.
Nilipata One point kumi O level,Huenda ulikua Moja ya janafunzi pumbavu, puuzi na JINGA JINGA, livuta Bangi
Hata Mimi ningekua Polepole, ningekusemea Kwa Mwalimu
Muda huu tunawahitaji saaaaana hawa wanoko wakati huu unoko.wao una tija😉Tuliyesoma naye pale Azania tunamjua, kazi yake kubwa ilikuwa unoko kwa waalimu.
Kazi yake ilikuwa kuhakikisha anareport mambo wanayofanya wanafunzi.
Hana usafi huo, ila hapendi kuona watu wanafanya mambo Yao kwa utulivu, so unoko na uchochezi ndo anachojua.
Apuuzwe tu
Alimaliza mwaka gani pale Azania?
Kamaliza mwaka gani?
Tuliyesoma naye pale Azania tunamjua, kazi yake kubwa ilikuwa unoko kwa waalimu.
Kazi yake ilikuwa kuhakikisha anareport mambo wanayofanya wanafunzi.
Hana usafi huo, ila hapendi kuona watu wanafanya mambo Yao kwa utulivu, so unoko na uchochezi ndo anachojua.
Apuuzwe tu
Weka ushahidi hapa maneno matupu hayavunji mfupaNilipata One point kumi O level,
Na one point 3 A level
GPA ya 4.6 UG (UDSM) na 5 GPA Masters
Sijajua mwenzangu ulipataga ngapi?