Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Ongea wewe tukusikilize basi..
Wewe ndio wa kupuuzwa.Tuliyesoma naye pale Azania tunamjua, kazi yake kubwa ilikuwa unoko kwa waalimu.
Kazi yake ilikuwa kuhakikisha anareport mambo wanayofanya wanafunzi.
Hana usafi huo, ila hapendi kuona watu wanafanya mambo Yao kwa utulivu, so unoko na uchochezi ndo anachojua.
Apuuzwe tu
Double agent dawa yake inajulikana, inapatikana Italy jimbo la Sicily Parlemo kwa Don Saratonga.Enzi za jiwe aliufyata kimya, na sisi atutaki wanafiki. kipindi kile alitamba wanatembelea mavietee. amuache mama naye atambeee 📢
dist111=3:4.6:5🥳Nilipata One point kumi O level,
Na one point 3 A level
GPA ya 4.6 UG (UDSM) na 5 GPA Masters
Sijajua mwenzangu ulipataga ngapi?
Na umegeuka chawa kwa HKL yako uliyosomaNilipata One point kumi O level,
Na one point 3 A level
GPA ya 4.6 UG (UDSM) na 5 GPA Masters
Sijajua mwenzangu ulipataga ngapi?
Hicho sio kigezo cha kukupima kama una akili ilhali ulichoandika hapo juu ni husda na uzwazwa.Nilipata One point kumi O level,
Na one point 3 A level
GPA ya 4.6 UG (UDSM) na 5 GPA Masters
Sijajua mwenzangu ulipataga ngapi?
Kumbe polepole amesoma na mamburula namna hii?Tuliyesoma naye pale Azania tunamjua, kazi yake kubwa ilikuwa unoko kwa waalimu.
Kazi yake ilikuwa kuhakikisha anareport mambo wanayofanya wanafunzi.
Hana usafi huo, ila hapendi kuona watu wanafanya mambo Yao kwa utulivu, so unoko na uchochezi ndo anachojua.
Apuuzwe tu
Ooh kumbe kitambo ni mtu anayeripoti vinavyofanyika...Tuliyesoma naye pale Azania tunamjua, kazi yake kubwa ilikuwa unoko kwa waalimu.
Kazi yake ilikuwa kuhakikisha anareport mambo wanayofanya wanafunzi.
Hana usafi huo, ila hapendi kuona watu wanafanya mambo Yao kwa utulivu, so unoko na uchochezi ndo anachojua.
Apuuzwe tu
Kama hukuandika kwa mtindo wa sarcasm, maqna yake ulichoandika ni kuwa Polepole ameobgea ukweli na hiyo ndio imekuwa tabia yake tangu mkiwa shuleTuliyesoma naye pale Azania tunamjua, kazi yake kubwa ilikuwa unoko kwa waalimu.
Kazi yake ilikuwa kuhakikisha anareport mambo wanayofanya wanafunzi.
Hana usafi huo, ila hapendi kuona watu wanafanya mambo Yao kwa utulivu, so unoko na uchochezi ndo anachojua.
Apuuzwe tu
Akirudi nistue mkuu!Nyooooo, uwe na akili hiyo alafu uwe MwanaCCM Tena anayefurahia Utekaji na Mauaji??.
Pumbavuuu, ukweli ni kua ni WATU WAJINGA MA WAPUMBAVU TU NDIO HUFURAHIA MATENDO YA UOVU KWA WENGINE.
Kama kweli ulipata huo Ufaulu, weka hapa picha, alafu namm nitakupa Matokeo yangu ya Kidato Cha Nne, Chasita PCB, Matokeo ya Chuo Kikuu, na Matokeo ya Post internship yangu.