Polepole apuuzwe, tuliosoma naye tulimuita Polisi/Usalama

Wewe ndio wa kupuuzwa.
 
Enzi za jiwe aliufyata kimya, na sisi atutaki wanafiki. kipindi kile alitamba wanatembelea mavietee. amuache mama naye atambeee πŸ“’
Double agent dawa yake inajulikana, inapatikana Italy jimbo la Sicily Parlemo kwa Don Saratonga.
 
Nilipata One point kumi O level,

Na one point 3 A level

GPA ya 4.6 UG (UDSM) na 5 GPA Masters

Sijajua mwenzangu ulipataga ngapi?
Na umegeuka chawa kwa HKL yako uliyosoma
 
Nilipata One point kumi O level,

Na one point 3 A level

GPA ya 4.6 UG (UDSM) na 5 GPA Masters

Sijajua mwenzangu ulipataga ngapi?
Hicho sio kigezo cha kukupima kama una akili ilhali ulichoandika hapo juu ni husda na uzwazwa.
Sasa hizo akili zako zimeisaidia nini nchi ilhali hata masikini jirani yako unamuibia ?

Wewe ni sawa na mtu ambae ameikotwa majalalani tu hata ukiwa Profesory.
 
Kumbe polepole amesoma na mamburula namna hii?
 
Ooh kumbe kitambo ni mtu anayeripoti vinavyofanyika...
Badala ya kutaka kumpuuza sasa umefanya nianze kumzingatia!
Kumbe kweli anayoyasema yanafanyika!
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ si kwa comment hizi, mmemshukia mleta mada kama mwewe kipanga
 
Polepole kasema alishiriki kuujenga huo mfumo, sasa we unabisha ulikuwepo?
 
Unoko ndo uzalendo wenyewe wewe ulimchukia kwasababu aliweka upumbavu wenu wazi mbele ya walimu.

Wapigaji huwa mnamchukia sana mtu anaebumburua madili yenu na kumuita mnoko
 
Kama hukuandika kwa mtindo wa sarcasm, maqna yake ulichoandika ni kuwa Polepole ameobgea ukweli na hiyo ndio imekuwa tabia yake tangu mkiwa shule
 
Akirudi nistue mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…