GE2025 Polepole, Asante kwa ukweli wako kuhusu kiini macho cha Uchaguzi. Hoja ya tusishiriki, haina tija tena na Uchaguzi Upo!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
NIDA+NEC + CCM mifumo yao iko integrated, na unashauri watu wapige kura ili iweje? Viongozi wanao patikana kwa mfumo wa wizi watawezaje kuwajibika kwa wananchi? Matokeo yake ni kuwa maskini.
Wengi humu mmeishia kusoma kichwa cha habari tu. Njaa asikilizwe na asibezwe
 
Ukiwa na kizunguzungu unaweza kuona kitu kilichotulua kama kinazunguka hivi, namaanisha haya uliyoyaandika ni mtazamo wako ndani ya"cave" ila wapo wanaona vingine Mkuu
 
Ni aibu mwandishi kama Mayala bado anaamini kuwa maendeleo yanaletwa na Ccm, wakati ccm imejaaa viongozi wala rushwa na wanuka rushwa .hela za misaada wanakula kitu kinachoongeza deni la Taifa kukua
 
Ndugu mwandishi na hoja zako nzuri je tufanyeje ili kuondokana na hili tatizo la ccm maana hiki chama kjmekuwa kama donda ndugu.umeandika vizuri ila mwishoni umechepuka tafadhali malizia vizuri hili andikk lako.
 
hata kama ni kwa kiini macho!, si hua inatuletea maendeleo ya kuonekanika?, na Watanzania tunayaona kwa macho yetu wenyewe hayo maendeleo yanayoletwa na CCM?
Hii ishu ya maendeleo umeiweka kama kichaka cha kujifichia kuhusu hoja ya Polepole, lakini pia maendeleo yanaletwa na watu kupitia kodi zao, wasimamizi bado wanatekeleza kwa uzembe.
 

Kuingilia mifumo ya uchaguzi ni Uhaini. Lissu anashtakiwa kwa niaba yetu kwa kufanya Uhaini na tunaopaswa kuwashitaki kwa Uhaini!



Mahaini kwao korokoroni.

Kabla ya kufungua chungu, tusijuane!
 
Kwa hiyo hoja yako Mayalla, twende tu kama mi ng'ombe machinjioni siyo.
Hujui kwamba kushirki dhambi ni dhambi.
 
Wanabodi
Nimemsikiliza HP mwanzo mwisho, hoja zake ni za ukweli na za msingi sana kuhusu kiini macho cha uchauzi wa Tanzania.

Mungu Ibariki Tanzania

Paskali
Nimeshasuri
Post in thread 'Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe' Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…