Polepole asiendelee kupuuzwa na CCM, nati kichwani mwake zilishafyatuka, atimuliwa kwenye chama haraka

Polepole asiendelee kupuuzwa na CCM, nati kichwani mwake zilishafyatuka, atimuliwa kwenye chama haraka

Dr Akili

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
5,313
Reaction score
4,751
Huyu Humphrey Polepole ambaye sasa ni mzee wa miaka 55 kuna kitu kwenye akili yake kichwani hakiko sawa. Hata mwonekano wako wa usoni (facial appearance) na mood yake ikilinganishwa na thinking logic capacity ya anayoyaongelea mtu yeyote mwenye werevu wa psychology, psychology and psychiatry atagundua kuwa huyu mtu he is not in touch with reality. His hypocampas and medulla oblingata are defective. His mind is full of delusions and hallucinations. He has met all the Schneider criteria of schizophrenia diagnosis.

Hivyo anahitaji matibabu na siyo kupuuzwa. Matibabu ya kuanzia ni kufuta uanachama wake wa ccm mara moja. Baada ya hapo psychiatrists wetu wahangaike naye kurejesha mental status yake to normality. Wanasiasa wengi hasa kwenye kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu wanakuwa na matatizo haya ya akili. Ni vyema watia nia ya nafasi za ubunge na udiwani wakawa wanakuwa kwanza screened na watalaam wa psychiatry kabla y kuruhusiwa kuwa wagombea wa kazi hizo nyeti kwo mstakabali wa nchi yetu. Hata kwenye utumishi wowote wa umma kabla ya kuajiriwa ni lazima mtu huyo apate medical certification of his health including mental health fitness for the job.
 
Kwamba ni uongo mgombea urais alijaza fomu na kutafuta wadhamini Tanganyika na Zanzibar?

Kwamba sasa hivi nchi sio kama nyumba isiyo na mwenyewe, wakurugenzi wa Usalama kwa Taifa wanne kwa miaka 3?

Polepole kasema uongo kama pesa za UVIKO zilijenga madarasa mengi vipi pesa zilizokuwa zimetengwa kabla kwa KAZI hiyo zilihamishiwa wapi.

Na hapo ndio Kwanza kafukua 50% ya yale aliyopanga kusema, kufika 82% lazima mkojoe dagaa, hahaha!
 
Mods kwenye heading pale penye atimuliwa pasomeke atimuliwe
 
Acha alipue tu hvohvo .
Kuendelea kuwasikiliza watu ambao akili zao zimefyatuka wanaweza kukuambukiza na wewe akili zako pia zikafyatuka. Watu hawa ni kama akina Polepole na Gwajima. Wenye akili timamu huwa kwanza wanajiondoa kwenye chama chao ndipo wanaanza kukinanga. Ukifanya hivyo utakuwa msaliti ndank yachama chako na lazima utafukuzwa kwenye hicho chama.

Huyu Polepole sijui nani kamtuma na lengo lakr ni lipi. Yaani anataka mkututano mkuu wa ccm urudie mchakato wa kumpata mgombea wa kiti cha uraisi na Samia asiruhusiwe kuwa mgombea wa kiti hicho? Kama siyo a delusion itakuwa kitu gani? Kama Samia ataruhusiwa ashindanishwe na watu wengine ndani ya chama it is a delusion kwamba matokeo ya kura yatakuwa tofauti. Itakuwa a waste of resources za chamba kufanya jambo kama hilo kwani matokeo yatakuwa ni yale yale ya mitano tena na October tuna tick.
 
Huyu Humphrey Polepole ambaye sasa ni mzee wa miaka 55 kuna kitu kwenye akili yake kichwani hakiko sawa. Hata mwonekano wako wa usoni (facial appearance) na mood yake ikilinganishwa na thinking logic capacity ya anayoyaongelea mtu yeyote mwenye werevu wa psychology, psychology and psychiatry atagundua kuwa huyu mtu he is not in touch with reality. His hypocampas and medulla oblingata are defective. His mind is full of delusions and hallucinations. He has met all the Schneider criteria of schizophrenia diagnosis.

Hivyo anahitaji matibabu na siyo kupuuzwa. Matibabu ya kuanzia ni kufuta uanachama wake wa ccm mara moja. Baada ya hapo psychiatrists wetu wahangaike naye kurejesha mental status yake to normality. Wanasiasa wengi hasa kwenye kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu wanakuwa na matatizo haya ya akili. Ni vyema watia nia ya nafasi za ubunge na udiwani wakawa wanakuwa kwanza screened na watalaam wa psychiatry kabla y kuruhusiwa kuwa wagombea wa kazi hizo nyeti kwo mstakabali wa nchi yetu. Hata kwenye utumishi wowote wa umma kabla ya kuajiriwa ni lazima mtu huyo apate medical certification of his health including mental health fitness for the job.

Unamwongelea Polepole ambaye ni dhahiri yupo mentally fit, Mbona unaacha kuwaomba watu wakusaidie wewe kupata matibabu haraka!! Maana kwa maelezo yako ni dhahiri una tatizo ambalo kitaalam linajulikana kama MCI (Mild Cognitive Impairment). Jitahidi kupata matbabu haraka.
 
Yuko kwenye Dozi kwa sasa;
 
Kabla ya kumtimua ni vizuri ukazijibu hoja zake ili nawe tukupime uwezo wako, hawezi kutimuliwa kwa sababu tu katoka mlevi mmoja kasema atimuliwe, inatimizwa!
 
Back
Top Bottom