Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Naam habari ndio hio, anasema leo tukae mkao wa kula, anakuja tena na leo ana watu kadhaa wa kuwajibu.....
Hii ngoma imenoga, wacha tuone.
View: https://vm.tiktok.com/ZMSEv6VN6/
Hahahahahha jerry muro anatoa kilio cha mbwa mwizi hukomsizime switch wazee π
ova
Hahahahaha wewe jamaa mkorofi sanaChondechonde asinibatize jina jipya wala asimguse Abdul na mama yetu kipenzi chetu toka Kizimkazi.
Kama unamfuatilia ungekua na jibu ya hili unalolisema, ameshasema hiliPolepole aje na nini kitafanyika kama awataki kurudi kwenye utaratibu wa kumpata mgombea urais
Asante kwa msisitizoUkitumia Lugha ya KUINANGA ni kama ana i nyanyasa CCM lakini ana ieleza CCM ukweli na Nini kinatakiwa kifanyike.
Pole pole anaipenda CCM na Nchi kwa ujumla, Ni kama Gwajima tatizo lililopo ni Kushupaza shingo kwa wahusika.
Bahati Mbaya baadhi ya watu wanafikiri Mambo yaki haribika watakao athirika ni CCM, ila ki uhalisia uharibifu utakua na impact ya Nchi mzima.
Zikianza vurugu hazita chagua chama, Haki uinua taifa.
Hii ni episode ya Nne ndugu yanguEpisode ya ngapi hii π
Ova
Hiyo lazimamsizime switch wazee π
ova
Ona hili... vurugu intoke wapi? nani kuakuambia ananza vurugu? Haya ndio humezeshwa propaganda yakameza bila kufikiri.Ukitumia Lugha ya KUINANGA ni kama ana i nyanyasa CCM lakini ana ieleza CCM ukweli na Nini kinatakiwa kifanyike.
Pole pole anaipenda CCM na Nchi kwa ujumla, Ni kama Gwajima tatizo lililopo ni Kushupaza shingo kwa wahusika.
Bahati Mbaya baadhi ya watu wanafikiri Mambo yaki haribika watakao athirika ni CCM, ila ki uhalisia uharibifu utakua na impact ya Nchi mzima.
Zikianza vurugu hazita chagua chama, Haki uinua taifa.
Jingle Kama yq saba hiviEpisode ya ngapi hii π
Ova
Kazi mnafanya saa ngapππ Leo afanye ata masaa matatu