Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,711
- 1,663
Habari wadau,binafsi nimemskiliza sana bwana Haphley Pole pole juu ya mambo yanayoendelea nchini kuhusiana na utawala uliopita na huu wa sasa wa Samia.
Bila kumpinga wala kumkubali jamaa atueleze kuhusiana na watu au kikundi cha watu wasiojulikana almaarufu kama watekaji (wauaji).
Hamphley hoja zake zina mashiko wala si za kupuuzwa kabisa ila atueleze kwa kina kuhusiana na mtandao uliokuwa ukiua watu enzi za Magufuli ambao sasa umerithiwa na uongozi uliopo sasa hivi,kwa kusema ukweli sisi tutamsamehe na kumuamini bila mashaka yoyote🙏