Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,711
- 1,663
Dotto Magari, Steve Nyerere, MwijakuHabari wadau,binafsi nimemskiliza sana bwana Haphley Pole pole juu ya mambo yanayoendelea nchini kuhusiana na utawala uliopita na huu wa sasa wa Samia.
Bila kumpinga wala kumkubali jamaa atueleze kuhusiana na watu au kikundi cha watu wasiojulikana almaarufu kama watekaji (wauaji).
Hamphley hoja zake zina mashiko wala si za kupuuzwa kabisa ila atueleze kwa kina kuhusiana na mtandao uliokuwa ukiua watu enzi za Magufuli ambao sasa umerithiwa na uongozi uliopo sasa hivi,kwa kusema ukweli sisi tutamsamehe na kumuamini bila mashaka yoyote🙏
Hapo ndio utakua mwisho rasmi wa yeye na CCM yakeHabari wadau,binafsi nimemskiliza sana bwana Haphley Pole pole juu ya mambo yanayoendelea nchini kuhusiana na utawala uliopita na huu wa sasa wa Samia.
Bila kumpinga wala kumkubali jamaa atueleze kuhusiana na watu au kikundi cha watu wasiojulikana almaarufu kama watekaji (wauaji).
Hamphley hoja zake zina mashiko wala si za kupuuzwa kabisa ila atueleze kwa kina kuhusiana na mtandao uliokuwa ukiua watu enzi za Magufuli ambao sasa umerithiwa na uongozi uliopo sasa hivi,kwa kusema ukweli sisi tutamsamehe na kumuamini bila mashaka yoyote🙏
Atakueleza nini kuhusu kikundi ambacho yeye alihusika kukiongoza?Habari wadau,binafsi nimemskiliza sana bwana Haphley Pole pole juu ya mambo yanayoendelea nchini kuhusiana na utawala uliopita na huu wa sasa wa Samia.
Bila kumpinga wala kumkubali jamaa atueleze kuhusiana na watu au kikundi cha watu wasiojulikana almaarufu kama watekaji (wauaji).
Hamphley hoja zake zina mashiko wala si za kupuuzwa kabisa ila atueleze kwa kina kuhusiana na mtandao uliokuwa ukiua watu enzi za Magufuli ambao sasa umerithiwa na uongozi uliopo sasa hivi,kwa kusema ukweli sisi tutamsamehe na kumuamini bila mashaka yoyote🙏
Yamkini umesahau wewe na familia yako. Polepole mwenyewe anadai Reform Gwaji pia anadai Reform sasa tumesahau vipi?Ccm wapuuzi sana wametupa movie ya Polepole na kusahau no reform no election na kusahau kumtetea Tundu A. Lissu.
Kuna msemo mtaani wanasema ukiona wazee wanakujadili kwa tabia zako mbovu tafuta mbwa na mpitishe kwenye hicho kikao. Wazee watatimua mbio na kikao kimeisha hicho 🤣