Polepole aulizwe. Katiba ya nchi na tume ya uchaguzi viko sawa? Mbona hahangaiki kudai reforms?

Polepole aulizwe. Katiba ya nchi na tume ya uchaguzi viko sawa? Mbona hahangaiki kudai reforms?

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
27,705
Reaction score
65,343
Kwa wananchi na wapenda haki wote.

Polepole amekerwa na mchakato wa uteuzi wa rais na mgombea mwenza ndani ya chama chake tu.

Lkn uporaji wa uchaguzi kama ule uliofanywa 2019, 2020 na 2024 Polepole anaona sawa tu. Na wala siyo shida zake hizo.

Polepole na kundi lake hawapiganii haki ya watanzania wote, bali wao wamejikita kupigania haki za kundi lao ndani ya chama chao..

Polepole katumwa na wale ambao siyo wanamtandao.

Kiufupi Polepole siyo mwenzetu ktk mapambano ya kudai reforms za katiba ya nchi ili madaraka ya rais yapungizwe na tume ya uchaguzi iwe huru.
 
Uchaguzi wa 2019 na 2020 yeye Polepole ndiyo alikuwa kinara wa kuuvuruga. Kama ana uchungu atuambie kapatwa na nn hivi sasa
Kwenye siasa kila kitu kinawezekana; na hakuna jipya katika siasa. Jibuni hoja zake za sasa badala ya kuhangaika na mambo ya zamani.
 
Msikilize vizuri hayo mambo ameyaogea yote. Na hata hivyo unaweza kumsaidia pale unapohisi hajafanya, sio lazima ye ndo afanye kila kitu.
Anataka kila kitu afanye Polepole, as if ni robot au akili mnemba
 
Mleta mada umeongea jambo la msingi.
Ili kulinusuru Taifa, maslahi ya Taifa yawekwe mbele kabla ya maslahi ya vyama.
 
Back
Top Bottom