Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole, akizungumza kwa njia ya mtandao usiku wa Septemba 3, 2025, amesema,
"Turidhiane sasa, na Mtanzania yeyote mwenye mapenzi mema na nchi hii atasimama imara kusema turidhiane sasa na siyo baadaye. Watakaoridhiana baadaye na matendo mabaya yanafanyika sasa hivi, watakuwa wasaliti wa maslahi mapana ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania."