GE2025 Polepole awashangaa viongozi wa CCM kutangaza maridhiano baada ya uchaguzi: 'Turidhiane sasa'

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole, akizungumza kwa njia ya mtandao usiku wa Septemba 3, 2025, amesema,

"Turidhiane sasa, na Mtanzania yeyote mwenye mapenzi mema na nchi hii atasimama imara kusema turidhiane sasa na siyo baadaye. Watakaoridhiana baadaye na matendo mabaya yanafanyika sasa hivi, watakuwa wasaliti wa maslahi mapana ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania."

Your browser is not able to display this video.
 
Yaani Lissu awekwe death Row afu akitoka aitwe kwenye maridhiano pole 😁😁
 
NRNE πŸ’ͺ πŸ”₯

Muda ni sasa, au uchaguzi batili uyeyuke.
 
polepole hana hoja sasahivi kishakosa mvuto
Kupitia kutaka awe na mvuto watanzania wamejua mengi sana na bado yanafukuliwa yalikokua yamezikwa ...tunatamani aendelee hivyo hivyo kutaka mvuto ili tujue mengi zaidi...leo hii infidels wanataka maridhiano ila wameona watanzania ni makuma wanasema maridhiano baada ya uchaguzi..wanatuona makuma sio
...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…