Polepole awataka wataalam wa ndani wavumbue chanjo ya UVIKO

Polepole awataka wataalam wa ndani wavumbue chanjo ya UVIKO

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Ukiachilia mbali kuwa mfuasi wa katiba pendekezwa, Humphrey Polepole ameamua kuvunja ukimya kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa maneno haya yaliyo katika tafsida...

IMG_20210804_222620.jpg

Unadhani ameongea maneno hayo kwa dhumuni au lengo gani?.
 
Ukiachilia mbali kuwa mfuasi wa katiba pendekezwa, Humphrey Polepole ameamua kuvunja ukimya kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa maneno haya yaliyo katika tafsida...

View attachment 1880241

Unadhani ameongea maneno hayo kwa dhumuni au lengo gani?.
Akatengeneze yake na Mama yake kwa kutumia limao na tangawizi, hapo ndo uwezo wa chama chake unapoishia, Zaid ni kubambikia kesi ili watawale Mikele. Shenz kabisaaah
 
Tangu mkoloni asombe ndugu zetu kwenda kuwatumikisha kwenye mashamba ya miwa huko ughaibuni, hadi leo kuna watu bado wanaamini kwamba kila kitu asipoapprove Mzungu basi hakina maana wala ubora. This is shame of unparalleled proportion!!! Why do we go to school, then!???

^Tatizo kubwa la nchi yetu, na kwa kweli mataifa yote duniani, ambalo ni chimbuko, msingi na shina la matatizo mengine yote ni UJINGA, MARADHI na UMASKINI. Ujinga na Maradhi ni baba na mama, Umaskini ni mtoto wao mpendwa^ ~ Baba wa Taifa.
 
"Tuliza mshono dawa ukuingie"
Juha nani vile??

Kama mmepewa na kujipa dhamana Zaid ya 50 hata kiwanda Cha kutengeneza syringe hakipo, je, chanjo ndo mtaiweza??

Endeleeni kuteka, kuua, na kubambikia kesi, hapo ndipo uwezo wenu ulipoishia!
Wewe nimesema ni lipumbavu!. Na unaendelea na ujuha wanko hapa. No wonder you never went to school kwa sababu ulizaliwa punguani. Pumbavu!
 
Wavumbue mara ngapi ? Kwani hii si tuliambiwa na wataalam inakinga watu ?
20210724_130839.jpg
 
Miaka yoote hiyo mimi najua polepole nae ni mvumbuzi wa ndani. Alivumbua nini maana alikuwa na jeuri hadi la kumkosoa PROFESA ASSAD(PHD) yaan polepole mwenye degree alioipata kwa notsi za promotion of life skills ya form 2 anamkosoa prof Assad kweli???
 
Pole pole bora umsikilize mtoto mdogo home utapata kitu sio huyo...
 
Wewe nimesema ni lipumbavu!. Na unaendelea na ujuha wanko hapa. No wonder you never went to school kwa sababu ulizaliwa punguani. Pumbavu!
Tuliza mshono nmekwambia, uolewe na polepole akupe noti umletee watoto wenye vibiongo!
 
Back
Top Bottom