Polepole, Bashiru na timu zao bado hawaamini kilichotokea

Polepole, Bashiru na timu zao bado hawaamini kilichotokea

Mwanahabari wa Taifa

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2020
Posts
1,588
Reaction score
956
Na. CM 1774858.

1. Jana trh 28|05|2021|1:26Pm nikiwa Ofisi za CCM Lumumba nikimsubiri Katibu wa Itikadi na Uenezi Comred Shaka Hamdu Shaka walifika Wasanii kadhaa akiwemo Diamond Plt, wote kwa pamoja wakiwa na shida ya kuonana na Ndg Shaka Hamdu Shaka,Muhudumu akawaomba wamsubiri kama ilivyokuwa kwangu|kwetu kwani Ndg Shaka Hamdu Shaka alikuwa kwenye kazi za nje wakati huo.

2. Chaajabu zaidi, Leo napita hapa Jf nakutana na uzi huu,Frankly,Mimi kama mwanachama mtiifu wa CCM nimeshindwa kuvumilia wacha nitie neno kidogo kwani Diamond ndio alimfuata Ndg Shaka Hamdu Shaka Ofisini kwake huku Mimi na Mungu tukiwa ni mashahidi wa Shaka, then dhambi iko wapi Ndg Shaka kupiga picha na Diamond Plt aliyefika Ofisini kwake kwa shida zake? Why kumdhalilisha mwenezi wetu kila uchapo?

"NIWATAFAKARISHE KIDOGO AKINA BASHIRU|POLEPOLE & TEAMS ZAO "
__________________________________

1. Mhe Polepole & Mhe Bashiru ninyi na team zenu lazima mkubali matokeo na mtambue uongozi ni mchezo wa kupokezana Vijiti tu na kamwe msidhani wala kujisumbua nafsini mwenu kuwa bila ninyi CCM inaweza kukwama popote,Ondoeni hofu na kwaunyenyekevu mkubwa niwahakikishieni kuwa hii CCM ni mpango wa Mungu na Mungu hajawahi kukwama popote zaidi Sana kumbukeni mema ya CCM kwenu na kesho yenu kwa CCM.

2. Kitendo cha kuongoza team zenu kukashifu na kudhalilisha viongozi wetu tena waliopatikana kikatiba sio tu havivumiliki na kila mpenda Chama bali vinakiumiza zaidi chama chetu na kupunguza imani kwa Watanzania wanaokiamini na kukitegemea chama hiki kwa kizazi na vizazi vyao,

3. Sikweli kwamba watangulizi wenu akina Nape na Mzee Kinana hawakuwa na watu|team za kuwakashifu na kuwadhalilisha ninyi mitandaoni kama mnavyofanya/zinavyofanya team zenu Leo kwa wenzenu mara baada ya kuwakabidhi vijiti,Hivi mmewahi kujiuliza nikwanini ninyi hamkutukanwa wala kudhalilishwa na wana CCM kama ilivyo kwa hawa successors wenu leo?

4. Mhe Nape na Mhe Kinana waliwapa kila aina ya sapoti ikiwa ni Pamoja na kuelekeza watu wao kuwaunga ninyi mkono kwa maslahi mapana ya chama chetu na Tanzania yetu kwa ujumla wake,Nasisitiza hili sisi kama wanachama hatutalifumbia macho kamwe,Hebu elekezeni nguvu zenu katika kuwakabili Wapinzani sio CCM kwa CCM tunatia aibu Sana CCM.

5. Kinachoumiza zaidi, Leo mpaka Wapinzani wote wanamuunga mkono Rais wetu Mhe Mama Samia Suluhu kwa namna anavyowaunganisha Watanzania nje|ndani chaajabu zaidi Sisi WanaCCM ndio tunaonesha kinyongo kwake na kwawale aliowateua ,Hii si sawa na lazima tujisahihishe kwani umoja wetu ndio umekuwa Ushindi wetu daima Polepole anajua & Bashiru anajua.


'Kazi iendelee kwa Speed'
 
Hata Mimi ni MWANACCM ila maajabu CCM tunatukanana wenyewe kwa wenyewe,Tumelogwa
 
Shaka hana Maringo kama Polepole, Msikivu na anaheshimu watu wote,

Shaka piga kazi, Kazi iendelee
 
Hebu tupe ushahidi wa kile ulichokiandika,Polepole na Bashiru wameigiaje hapo? Nini walisema?
 
Mzee Wa vieteee roho inamuhuma, miezi kadhaa nyuma alikua moja ya watu wasiogusika nchi hii, leo yupo bench kama raia wa kawaida
 
Sukuma gang bado wanaweweseka.

Japo mama mm ameanza kunikera kwa kuteka wapigania katiba mpya. Na uvamizi wamkutano wa chadema huko Shinyanga.

Mwambieni huyu mama nchi ni yetu sote
 
Hebu tupe ushahidi wa kile ulichokiandika,Polepole na Bashiru wameigiaje hapo? Nini walisema?
Mjomba acha papara soma vizuri alichoandika mwanaccm mwenzetu Team Bashiru na Team Polepole ndio zinadhalilisha viongozi mitandaoni kama nawewe unahusika acha maramoja
 
Gawaneni mbao tu, chama chenu chakavu hakina maana tena kwa mtanzania, mmegeuka majizi wa kura, mipasho ya kina Magige, na kila aina ya uozo, hamna dira tena hamjui mnalipeleka wapi hili taifa, baada ya kuwatesa wapinzani sasa mnatafunana wenyewe.
 
Shaka piga kazi,kazi iendelee kwa shaka piga kazi,kazi iendelee kwa speed, shaka piga kazi,kazi iendelee kwa speed, shaka piga kazi,kazi iendelee kwa speed, shaka piga kazi,kazi iendelee kwa speed, shaka piga kazi,kazi iendelee kwa speed, shaka piga kazi,kazi iendelee kwa speed, shaka piga kazi,kazi iendelee kwa speed, shaka piga kazi,kazi iendelee kwa speed, shaka piga kazi,kazi iendelee kwa speed, shaka piga kazi,kazi iendelee kwa speed, shaka piga kazi,kazi iendelee kwa speed,
 
Siku Bashiru akutane wa makatibu wastaafu wenzake wa CCM na itokee Mzee Makamba anapewa wasaa kutoa neno la shukrani......watazimia kwa vijembe live...ipo siku tuu...Mungu huyu namuheshimu kweki Mungu hadhihakiwi.....
 
Hebu tupe ushahidi wa kile ulichokiandika,Polepole na Bashiru wameigiaje hapo? Nini walisema?

Nashangaa kijana mdogo anakuwa Na sifa/Tania za kichawi mapema. Sijui anawashwa Na nini?! Kifupi hao Pole Na Bashiru washakuwa nje ya uongozi wa kijani sasa sijui anawaongelea nae aonekane anajua kuandika kumbe kaandika mavi mavi tu
 
Nashangaa kijana mdogo anakuwa Na sifa/Tania za kichawi mapema. Sijui anawashwa Na nini?! Kifupi hao Pole Na Bashiru washakuwa nje ya uongozi wa kijani sasa sijui anawaongelea nae aonekane anajua kuandika kumbe kaandika mavi mavi tu
Ila Sisi tumemwelewa Sana,

Shaka is Innocent hana tabia za Polepole wala Bashiru,Mungu wa Mbinguni amlinde Sana,
 
Back
Top Bottom