Uchaguzi 2020 Polepole: CCM inawataka wagombea wote waliofeli kura za maoni kuwapigia kampeni washindi watakaokaidi kukosa teuzi!

Mpuuzi kweli kwani watu wote Tanzania wanaishi kwa teuzi zao za kimalaya?
 
Umefuatilia mchakato wa uteuzi? Unalikumbuka vyema tamko la "kuwashikisha adabu" waliopita kwenye kura za maoni kwa rushwa?

SWALI: Hao waliopita kwenye kura za maoni kwa rushwa wameshikishwa adabu?!
 
Umefuatilia mchakato wa uteuzi? Unalikumbuka vyema tamko la "kuwashikisha adabu" waliopita kwenye kura za maoni kwa rushwa?

SWALI: Hao waliopita kwenye kura za maoni kwa rushwa wameshikishwa adabu?!
Hakuna kitu najutia miaka yote niliopoteza ni kuamini CCM ni chama na siasa. Misingi ya chama imebomoka.
 
Teuzi gani hizo mkiwa bench October
 
POLEPOLE amefailed kwenye rushwa angekaa kimya tu na mdomo wake huo.

Na mtindo wao wa kutuletea madiwani darasa la saba wasio jua hata kusoma.

Ili wawe wanapiga pesa za miradi mwisho wenu unahesabika.
 
Anawahadai wasiondoke kwa hasira za kukatwa na kuwapa matumaini kuwa Watapata uteuzi, na waliopo waende wapi,
 
Huu ni ushenzi na ubeberu mpya unaoletwa na awamu hii. Walianza 2015 na sasa wanauthubutu wa kutuambia ambao hawata waunga waliochaguliwa watakosa fursa za kuteuliwa. Jiulize CCM ndani ya chama ina nafasi ngapi? Ni wazi wanategemea nafasi zilizopo serikalini na mashirika yake na wanataka watumie nafasi hizo kwanza kuwatisha waliowaacha (njaaa mbaya), pili kujaza makada wao kwenye serikali kuu na mashirika yake na kwa kufanya hivyo wanatubagua sisi tusio wana CCM. Haya ndio manyanyaso anayozungumzia Lissu.
Ati maendeleo hayana chama-my foot, ushenzi mtupu.
 
Haka kajamaa kamejishushia heshima sana, sasa ndio nini icho kaongea. Mbona ni kama anajipaka kinyesi usoni. Wewe mtu kashinda kura za maoni mkamkata sababu m'memuona hafai sasa teuzi gani atakayofit mtu wa aina iyo..? Halafu kwani yeye ni Mungu mpaka ajue watashinda ndio waanze kugawa nafasi na hizo teuzi kama maandazi.
Inatosha watuachie nchi yetu, wasituvuruge kabisa.
 
wajumbe wamepuuzwa,lazima wa revenge kupitia ballot box
 
Si waliokatwa ni watoa rushwa au rais anateua na watoa rushwa ?
 
Haka kajamaa kapumbavu kweli. Yani wameifanya nchi kama iko mfukoni mwao.

Hayo ni ya wanachama haikuhusu mtu wa msituni,
Kama wanaona wameonewa wana haki hata ya kujiunga huko msituni, uhuru wanao
Sasa wewe uumie kivipi wakati ndobunapata washirika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…