GE2025 Polepole: CCM mnakwendaje kwenye kampeni hatusikii kupiga vita rushwa na ufisadi havisikiki?

GE2025 Polepole: CCM mnakwendaje kwenye kampeni hatusikii kupiga vita rushwa na ufisadi havisikiki?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wanasema hati chafu zimeshuka kutoka nne hadi 1!!! Kazi ipo.
===
Nimesikiliza yote.
 
Fisadi Mkuu hawezi kamwe kukemea ufisadi, Ferrari, bentlel, rosi roiz, majumba masaki, nchi imeoza. Yale mapesa tuliokopa yote yapo mikononi mwa watu
 
Back
Top Bottom