Uchaguzi 2020 Polepole: CHADEMA walichapisha kura feki ili kuvuruga Uchaguzi Mkuu

Polepole kura feki mlizichapisha Zanzibar Government press , Maruhubi, Mliwapa likizo fupi wafanyakazi wote mkawaingiza maofisa wa Usalama TISS mkaanza kazi. Tunajua yote
Ukuta wa nje mliuongeza urefu
Hakuna siri juu ya uchakachuaji wa CCM kwenye uchaguzi huu magumashi
 
Mhuri wa Moto?! Hata wa ikulu unapatikana...kuhusu kuingia barabarani hizo ni story tu hakuna wa kuingia road,tupumzishane tafadhali acheni mshindi afanye kazi.
Mtu anatengeneza Noti feki ya elfu kumi..
Halafu unashangaa muhuri!? Unakuwa unaishi kipindi cha Ukabaila

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Zaidi ya matusi, hakuna hata mmoja aliyejibu hoja za chakubanga.
Polepole hana hoja kaongea upumbavu mtupu hana anachojua zaidi ya kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu tokea chamwino
 
Kuna watu wanajua kujidhaulisha. Mimi ningekuwa Polepole ningenyamaza kimya kuhusu kura feki!
Polepole hana mshipa wa Aibu
 
Ushahidi huwa unachomwa moto?

Si bora hata mngepeleka ICC?
Ushahidi upo mwingi wa kupeleka ICC hata video za Polisiccm wakipiga watu Zanzibar zipo nyingi mno
 
Chama chenye wanasheria wabobezi wanakamata kura feki wanachoma MotoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hawataki ushahidi, inaitaji akili ndogo sana kuamini maneno ya Polepole.

Ni mazezeta pekee yatakaa na kumwamini polepole lakini watanzania wenye Akili timamu walishampuuza polepole kitambo.
 
. Mkuu vp
 
. Nani alizichoma Moto hizo kura mkuu
 
Wewe usikae katikati ya barabara wakati ninapita na mkoko wangu. Ugali wangu wa kila siku hautoki kwenye maandamano yasiyokuwa na kichwa wala miguu.

Maandamano hayo yanaitwa terrorism kama matendo ya akina Bin Laden. Watu wengine kukosa madaraka isiwe shida kwa watu wengine wengine ambao hatuna haja na na hatufaidiki na madaraka hayo.

Halafu angalieni kuwa ile protection ya ubunge haipo tena.
 
Shut up
 

Chama Cha Demokrasia ya Matusi (Chadema) walipaswa kutumia real KGB agents, sio copycats!
 
Kuna binadamu anamsikiliza kibaka anayeitwa polepole?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…