Uchaguzi 2020 Polepole: CHADEMA walichapisha kura feki ili kuvuruga Uchaguzi Mkuu

Uchaguzi 2020 Polepole: CHADEMA walichapisha kura feki ili kuvuruga Uchaguzi Mkuu

Polepole kura feki mlizichapisha Zanzibar Government press , Maruhubi, Mliwapa likizo fupi wafanyakazi wote mkawaingiza maofisa wa Usalama TISS mkaanza kazi. Tunajua yote
Ukuta wa nje mliuongeza urefu
Hakuna siri juu ya uchakachuaji wa CCM kwenye uchaguzi huu magumashi
 
Mhuri wa Moto?! Hata wa ikulu unapatikana...kuhusu kuingia barabarani hizo ni story tu hakuna wa kuingia road,tupumzishane tafadhali acheni mshindi afanye kazi.
Mtu anatengeneza Noti feki ya elfu kumi..
Halafu unashangaa muhuri!? Unakuwa unaishi kipindi cha Ukabaila

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu wanajua kujidhaulisha. Mimi ningekuwa Polepole ningenyamaza kimya kuhusu kura feki!
Polepole hana mshipa wa Aibu
 
Ushahidi huwa unachomwa moto?

Si bora hata mngepeleka ICC?
Ushahidi upo mwingi wa kupeleka ICC hata video za Polisiccm wakipiga watu Zanzibar zipo nyingi mno
 
Chama chenye wanasheria wabobezi wanakamata kura feki wanachoma Moto😂😂😂 hawataki ushahidi, inaitaji akili ndogo sana kuamini maneno ya Polepole.

Ni mazezeta pekee yatakaa na kumwamini polepole lakini watanzania wenye Akili timamu walishampuuza polepole kitambo.
 
CHADEMA walitoa wapi mihuli yamoto inayopatikana NEC? Na kama ni kweli kwa nini waliokamatwa polisi haikuwachukulia hatua hata kama ni CHADEMA wenyewe, na je kwa nini mwenyekiti wa tume alisema hakuna kura fake zilizokamtwa?

Tukutane kesho tarehe 2 barabarani, hii ni nchi yetu sote, nawala si ya CCM peke yao.
. Mkuu vp
 
Chama chenye wanasheria wabobezi wanakamata kura feki wanachoma Moto😂😂😂 hawataki ushahidi, inaitaji akili ndogo sana kuamini maneno ya polepole
Ni mazezeta pekee yatakaa na kumwamini polepole lakini watanzania wenye Akili timamu walishampuuza polepole kitambo
. Nani alizichoma Moto hizo kura mkuu
 
Wewe usikae katikati ya barabara wakati ninapita na mkoko wangu. Ugali wangu wa kila siku hautoki kwenye maandamano yasiyokuwa na kichwa wala miguu.

Maandamano hayo yanaitwa terrorism kama matendo ya akina Bin Laden. Watu wengine kukosa madaraka isiwe shida kwa watu wengine wengine ambao hatuna haja na na hatufaidiki na madaraka hayo.

Halafu angalieni kuwa ile protection ya ubunge haipo tena.
 
Wewe usikae katikati ya barabara wakati ninapita na mkoko wangu. Ugali wangu wa kila siku hautoki kwenye maandamano yasiyokuwa na kichwa wala miguu. Maandamano hayo yanaitwa terrorism kama matendo ya akina Bin Laden. Watu wengine kukosa madaraka isiwe shida kwa watu wengine wengine ambao hatuna haja na na hatufaidiki na madaraka hayo.

Halafu angalieni kuwa ile protection ya ubunge haipo tena.
Shut up
 
Amani iwe nanyi

Mkuu wa idara ya itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi, shujaa Humphrey Polepole wakati akijibu swali la kukamatwa kura feki huko Kawe na baadae kuchomwa moto na wananchi amesema makaratasi hayo ya kura feki yalichapishwa na CHADEMA na baadae wakayasambaza wenyewe kwenye vituo vya kupiga kura na kisha wakayakamata wenyewe na kuyachoma moto wenyewe kwa lengo la kuvuruga uchaguzi mkuu wa mwaka huu!!

Polepole amehoji kama hizo ni karatasi kutoka NEC kwa nini wazichome moto? Kwa nini CHADEMA hizo kura feki hawakuzipeleka polisi kwa uchunguzi?

Hayo mabegi ya kura feki kwa nini aliyekuwa nayo walimkamata na kumwachia?

Chama Cha Demokrasia ya Matusi (Chadema) walipaswa kutumia real KGB agents, sio copycats!
 
Kama ni kweli hizo kura zilichapishwa na chadema, kwanini polisi walikuwa wanawalinda na kuwatetea waliokuwa wamezibeba? Kwanini mwenyekiti wa tume ya uchaguzi alijitokeza na kuwaambia wananchi wapuuze hizo tuhuma za kuwa kuna kura fake wakati akijua kuwa chadema wamechapisha kura fake?
Kuna binadamu anamsikiliza kibaka anayeitwa polepole?
 
Back
Top Bottom