mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Na ninyi mmechukua hatua gani baada ya kujua Chadema wamefanya uhalifu huo?! Au hapa mtandaoni ndio mahakamani!
Tutaaminije hao jamaa hawakuacha kujipigia kura makusudi ili kutunga vioja kama kawaida yao???Wanajitekenya wenyewe..
Hao ni wezi wa asili.
Wameiba Hadi kura za familia ya mgombea ubunge..
Hizo kura feki NI za CCM na NEC.
Slow slow anajitoa akili kulinda kibarua chakeView attachment 1619110
Kwa hiyo CDM wanaweza kuchapisha karatais za kura feki na kuwapa polisi- Hamko sirious kabisaLakini maneno yake kama vile kweli
Tutaaminije hao jamaa hawakuacha kujipigia kura makusudi ili kutunga vioja kama kawaida yao???
Kwa hiyo CDM wanaweza kuchapisha karatais za kura feki na kuwapa polisi- Hamko sirious kabisa
Nikikujibu utaamini?Ila unaamini CCM walishinda kihalali?
Bob Amsterdam hashindwi kutengeneza mihuli ya NEC .CHADEMA walitoa wapi mihuli yamoto inayopatikana NEC? Na kama ni kweli kwa nini waliokamatwa polisi haikuwachukulia hatua hata kama ni CHADEMA wenyewe, na je kwa nini mwenyekiti wa tume alisema hakuna kura fake zilizokamtwa?
Tukutane kesho tarehe 2 barabarani, hii ni nchi yetu sote, nawala si ya CCM peke yao.
The type of demokrasia preached in Afrika by the Americans will bring nothing but chaos and misery... Narudia nothing... Hyped, uneducated, with low reasoning capabilities and inexperienced people(in leadership realm) can not make sound judgment as to who should become their leader...Bob Amsterdam hashindwi kutengeneza mihuli ya NEC .
Kwanza jiulize kwann kuna mfumo wa vyama vingi??? Binafsi najua faida moja tu ambayo ni kuchallenge chama tawala huko bungeni.
Pia jiulize, nini madhara ya vyama vingi??
Kwa mtazamo wangu mfumo wa vyama vingi vya siasa umeletwa na wakoloni kwa makusudi wakijua fika siku moja mtapishana kauli mtauana wenyewe kwa wenyewe ili wapate fursa ya kuchukua rasilimali zetu.
Ninawakumbusha tena nyie wapinzani mnaohamasisha maandamano yasiyo na kikomo kuwa vita vya panzi ni furaha ya kunguru
Chedema tafuteni njia mbadala ya kutatua tatizo lenu na sio kuhamasisha vurugu nchini.
Vyama vya upinzani hasa wale wa[emoji1536] rejeeni nyuma kwenye history jinsi wakoloni walivyotutawala. Mkimalixa fanyeni tathmini ili muamke kwenye huo usingizi mliolala.
Muamerika, Bob Amsterdam, muingereza hawezi kukufanyia kazi ya bure bila maslahi.
Na njia bora mbadala ni wao kutulia kabisa kama walivyosusia Bunge wakati wa korona, maana tayari nchi iko mikono salama haswa kwa sasa -- gari limempata dereva wake. Maendeleo hayana chama. Wanachodai wapinzani eti wanataka kuleta Tanzania siyo ukombozi bali ubomozi.Chedema tafuteni njia mbadala ya kutatua tatizo lenu na sio kuhamasisha vurugu nchini.
Ndugu yangu mtanzania mwenzangu, ingekua poa sana kama ungetumia lugha ya taifa ili ujumbe uwafikie watanzania wengi hasa wale wa✌🏿.The type of demokrasia preached in Afrika by the Americans will bring nothing but chaos and misery... Narudia nothing... Hyped, uneducated, with low reasoning capabilities and inexperienced people(in leadership realm) can not make sound judgment as to who should become their leader...
Wamarekani wenyewe popular vote sio kila kitu... halafuunatarajia sisi huku ndio tunauwezo wa kutoka mihangaikoni, tuje tuchague Rais wa vigezo vyote vya msingi na tupate mtu makini atuvushe salama!? Thubutu.
This has never worked anywhere in history without bringing chaos. Never.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nikikujibu utaamini?
Well-said. Kama situation ingekuwa flipped vice versa, wagombea wetu hawa ndio wakawa Marekani, halafu huyu mwanashari mwanasheria Mzungu wao aliyepigwa chini na wananchi kwenye sanduku la kura, ndiye akawa anaungwa mkono vile na nchi zingine za ughaibuni (ambao kimsingi ni maadui wa USA), uongo ubaki puani, hao jamaa wasingemfikiria hata chembe kumweka kwenye kinyang'anyiro cha ngazi yoyote ya uongozi nchini mwao.The type of demokrasia preached in Afrika by the Americans will bring nothing but chaos and misery... Narudia nothing... Hyped, uneducated, with low reasoning capabilities and inexperienced people(in leadership realm) can not make sound judgment as to who should become their leader...
Wamarekani wenyewe popular vote sio kila kitu... halafuunatarajia sisi huku ndio tunauwezo wa kutoka mihangaikoni, tuje tuchague Rais wa vigezo vyote vya msingi na tupate mtu makini atuvushe salama!? Thubutu.
This has never worked anywhere in history without bringing chaos. Never.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hizi ndiyo karatasi feki mlizoprinti ili kutumia kuvurugia uchaguzi wetu, siyo???Inategemea umejibu niniView attachment 1620158
Hizi ndiyo karatasi feki mlizoprinti ili kutumia kuvurugia uchaguzi wetu, siyo???
Zilikamatwa na Chadema
Nani alizikamata? Wapi? Halafu ikawaje? Nachojua wananchi wamemwamini sana Dkt. Magufuli kwa sababu ya sera yake makini ya ustawi & maendeleo ya watu na vitu, amani na usalama wa raia; ndiyo maana wamemchagua kwa kishindo pamoja na Wabunge na Madiwani wa Sisiemu, dhidi ya Chama cha Demoghasia & Maombolezo chenye sera kakasi na tata za kuligawa taifa, kuifanya Tanzania koloni la London na Washington, kusalimisha rasilimali zetu kwa mabepari, maadili mabaya, ushari, vurugu, ghasia, machafuko, kutengengeza matukio, matusi, kashfa, uongo na kupinga kila kitu.Unaamini kwenye uchaguzi huu kuna kura feki zilikamatwa?
Nani alizikamata? Wapi? Halafu ikawaje? Nachojua wananchi wamemwamini sana Dkt. Magufuli kwa sababu ya sera yake makini ya ustawi & maendeleo ya watu na vitu, amani na usalama wa raia; ndiyo maana wamemchagua kwa kishindo pamoja na Wabunge na Madiwani wa Sisiemu, dhidi ya Chama vya Demoghasia & Maombolezo chenye sera kakasi na tata za kuligawa taifa, kuifanya Tanzania koloni la London na Washington, kusalimisha rasilimali zetu kwa mabepari, maadili mabaya, ushari, vurugu, ghasia, machafuko, kutengengeza matukio, matusi, kashfa, uongo na kupinga kila kitu.
Not true. Kungekuwa na kura feki kwenye ballot box Mr Mzungu angepanda less than 5% na JPM angepata 95%++Zilikamatwa kawe, sinza, Zanzibar hata kigoma..Ila nec hawajui Kama kuna kura feki zimekamatwa.
Not true. Kungekuwa na kura feki kwenye ballot box Mr Mzungu angepanda less than 5% na JPM angepata 95%++