The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Chakubanga asitufanye sisi wajinga. Kama ni kweli vyombo vya usalama vilikuwa wapi kuwakamata hao CDM na Kura zao fake......!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure. Kwenye issue ya kura tuachie giza ndiyo linajua ukweli. Sisi tusherehekee matokeo tuliyosomewa.Truth be told, sijaona upinzani hata kidogo; nimeona tu mihemko ya madalali, vibaraka na matapeli wa siasa. Hata huyo Mzungu wao anajua washangiliaji wake kwenye kampeni walikuwa wanamsanifu tu, na wala hawakuwa wanamtakia ushindi ndiyo maana hawajampatia kura zao, badala yake wamemchagua JPM. Huwezi kutangaza mauti, vita, shari, uasi, uzushi, uongo na kupinga kila kitu halafu wananchi haohao wapenda-maendeleo wakakuchagua. No, never!
Since time immemorial, mafanikio makubwa ya mkoloni dhidi ya Bara la Afrika lenye rasilimali nyingi na fanaka tele, ni kututenga na kutugawa KIJIOGRAFIA (mipaka kati ya nchi na nchi au maeneo) & KISAIKOLOJIA (usharidi wa itikadi na vyama).Sure. Kwenye issue ya kura tuachie giza ndiyo linajua ukweli. Sisi tusherehekee matokeo tuliyosomewa.
NEC wana haki ya kujibu walichojibu..Ila kumbuka NEC WANAKATAA WANASEMA HAKUNA KURA FEKI?
Kwanini NEC wasiseme zimetengenezwa na na chadema?
NEC wana haki ya kujibu walichojibu..
Hivi chizi akikuvua nguo halafu akakimbia na nguo zako, je utamfukuza ili kumnyang’anya nguo zako??
NEC wana haki ya kujibu walichojibu..
Hivi chizi akikuvua nguo halafu akakimbia na nguo zako, je utamfukuza ili kumnyang’anya nguo zako??
Rais amesema Uchaguzi umeisha sababu Katika ya Nchi hairuhusu kupinga matokeo ya Uchaguzi mkuu. Kama kuna mwenye firigisu au uvimbe basi kuna taratibu za kufuatwa, bila kufanya vurugu na kutuondolea amani nchini kwetu.Kwanini magufuli analazimisha UCHAGUZI UMEISHA, UCHAGUZI UMEISHA, UCHAGUZI UMEISHA".
Kwanini waliohusika na kura feki wasikamatwe na kufunguliwa mashtaka?.
Mbona kwenye suala la mitihani feki wanakamtwa kwanini kwenye uchaguzi MKUU wa kuchagua rais mbunge na diwani HAKUNA ALIYEKAMATWA?
NAOMBA JIBU.
Raisi amesema uchaguzi umeisha sababu katiba ya nchi hairuhusu kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu. Kama kuna mwenye firigisu au uvimbe basi kuna taratibu za kufuatwa, bila kufanya vurugu na kutuondolea amani nchini kwetu.
Kuhusiana na swala la walioshikwa na kura NEC wameshakujibu kuhusiana na hilo.
Wanaoeneza nadharia mfu za uwepo wa kura feki ni ninyi; muueleze umma wa Tanzania mmezitoa wapi, nani alikuwa nazo, zimekamatwaje, etc. Msiitwishe Tume ya Uchaguzi mzigo usiobebeka, sawa??? Tuliwapa Tume kazi ya kusimamia uchaguzi mkuu, na wamefanikiwa kabisa kudeliver maoni ya Watanzania kupitia sanduku la kura. Poleni sana kama mlitegemea some sort of favor kutoka kwao. Naona labda hamkuelewana nao. Tumetekeleza kwa kishindo, tunasonga mbele pamoja.Hii nchi ina komedi sana,ilikuwaje TISS na polisi washindwe kubaini CHADEMA wanachapisha karatasi feki za kura kabla ya uchaguzi?? Hicho kiwanda kilicho chapisha karatasi feki kiko wapi na hatua walizochukua baada ya kuziona kura feki?
Huyo jamaa anaropoka kumfurahisha boss wake aendelee kutembelea V8.
Inatia aibu taifa kuwa na watu wa namna hii.))
Hii nchi ina komedi sana,ilikuwaje TISS na polisi washindwe kubaini CHADEMA wanachapisha karatasi feki za kura kabla ya uchaguzi?? Hicho kiwanda kilicho chapisha karatasi feki kiko wapi na hatua walizochukua baada ya kuziona kura feki?
Huyo jamaa anaropoka kumfurahisha boss wake aendelee kutembelea V8.
Inatia aibu taifa kuwa na watu
Nimeshakujibu maswali yote uliyoyauliza hapo. Kama umesahau, basi rejea kwenye post zangu nilizokujibu tayari. Naomba uniulize swali ambalo sijakujibu.Vipi udanganyifu uliofanywa.
NEC wamechukua hatua gani?.
Ilitakiwa iwakamate wale wote waliokamatwa na kura feki na kuwahoji wamezitoa wapi na wamepewa na nani?.
Kwanini mnayafunikaa haya Mambo?
Mnamlinda Nani?
Wanaoeneza nadharia mfu za uwepo wa kura feki ni ninyi; muueleze umma wa Tanzania mmezitoa wapi, nani alikuwa nazo, zimekamatwaje, etc. Msiitwishe Tume ya Uchaguzi mzigo usiobebeka, sawa??? Tuliwapa Tume kazi ya kusimamia uchaguzi mkuu, na wamefanikiwa kabisa kudeliver maoni ya Watanzania kupitia sanduku la kura. Poleni sana kama mlitegemea some sort of favor kutoka kwao. Naona labda hamkuelewana nao. Tumetekeleza kwa kishindo, tunasonga mbele pamoja.
Kumbuka chadema wana mtandao wa Bob Amsterdam
Nimeshakujibu maswali yote uliyoyauliza hapo. Kama umesahau, basi rejea kwenye post zangu nilizokujibu tayari. Naomba uniulize swali ambalo sijakujibu.
Nimeshakujibu maswali yote uliyoyauliza hapo. Kama umesahau, basi rejea kwenye post zangu nilizokujibu tayari. Naomba uniulize swali ambalo sijakujibu.
Hivi hata hizo vitu zenu feki ziko wapi, maana isijekuwa tunaongelea kura feki ambazo kimsingi ni hewa -- hazipo!?Yaani sisi ndo tuseme tumezitoa wapi?
Kwani waliokutwa na hizo kura feki si wapo na wanajulikana?NEC walichukua uamuzi gani?
Asiyekubali kushindwa sio mpinzani pia mfa maji haishi kutapatapa.Siku zote mwizi umrushia mpira mwenzie
Hivi ungetokea chadema wangeshinda na pia kuna lawama za hizo kura feki CHADEMA WANGETANGAZWA WASHINDI AU UCHAGUZI UNGERUDIWA?
una AKILI unapaswa kuzitumia
Asiyekubali kushindwa sio mpinzani pia mfa maji haishi kutapatapa.
CDM washinde??? Kwa sera zipi kifano??? Yale matusi, kashfa batili, uongo wa wazi, kuwatetea mabeberu badala ya wazalendo, kugawa rasilimali zetu, kuifanya nchi yetu kuwa koloni la Mr Amsterdam, sera na maadili butu, ushari, ghasia, machafuko & kupinga kila kitu. Hakika kabisa "ulimwengu wote ungetushangaa Watanzania kwamba tumelewa amani!" (Mwl. Nyerere). Wananchi wote wamefanya uamuzi mkubwa wa kihistoria wa kuwakataeni mchana kweupe.Siku zote mwizi umrushia mpira mwenzie
Hivi ungetokea chadema wangeshinda na pia kuna lawama za hizo kura feki CHADEMA WANGETANGAZWA WASHINDI AU UCHAGUZI UNGERUDIWA?
una AKILI unapaswa kuzitumia